Natamani kusomea Information Technology

Amani musa

New Member
Mar 10, 2024
1
1
Nina umri wa miaka 26, nimehitimu Kidato cha Nne Mwaka 2016 na matokea nina C flat 5 na D ya History na Chemistry na F ya Fizikia na Hesabu ndoto yangu ni kuwa na bachelor ya IT nifanyaje wakuu?
 
hiyo ni NIT
 
Attachments

  • Screenshot_20240319-221249_Chrome.jpg
    Screenshot_20240319-221249_Chrome.jpg
    148.7 KB · Views: 6
Sasa umefeli hesabu na physics utasomaje hiyo course?

History hapo ya kazi gani mzee?
Hiyo wanaweka kama kigezo tu lakini kuna watu wanaijua sana IT na walifaulu masomo ya Arts tu

Na Kuna PCM's na PCB's hawaijui sana

Nafikiri IT ni Hobby au Interest ya Mtu tu

Bill Gates na kina Steve Jobs hata hesabu hawakuwahi kuifaulu tena hata shule hawakumaliza ila wamefanya makubwa kuliko sisi na A na B zetu
 
Nani kasema hawezi? Matokeo ya form4 au 6 hayana uhusiano na mambo ya chuo.

Kama kweli ana nia akasome hiyo mentality sijui ya F sijui nini imegharimu ndoto za watanzania wengi sana.
Nakubaliana na wewe kwa 100% hata Software engineers wengi maarufu duniani hawakuwa mathematicians

Coding, Software installations,Networking zote anafanya yeyote
 
hujaambiwa lazima uwe mathematician naomba uelewe kitu kimoja. IT haiusiani na kujua math hata mimi nimesoma IT nina degree na sio mzuri wa math. Ila vigezo vya kuanza kusoma IT kuanzia Certificate na Diploma lazma uwe na D ya math. sasa wewe una F ya math itawezekanaje hapo.
 
Hiyo wanaweka kama kigezo tu lakini kuna watu wanaijua sana IT na walifaulu masomo ya Arts tu

Na Kuna PCM's na PCB's hawaijui sana

Nafikiri IT ni Hobby au Interest ya Mtu tu

Bill Gates na kina Steve Jobs hata hesabu hawakuwahi kuifaulu tena hata shule hawakumaliza ila wamefanya makubwa kuliko sisi na A na B zetu
sasa atasomaje wakati vigezo vinataka kuanzia D ya math
 
hujaambiwa lazima uwe mathematician naomba uelewe kitu kimoja. IT haiusiani na kujua math hata mimi nimesoma IT nina degree na sio mzuri wa math. Ila vigezo vya kuanza kusoma IT kuanzia Certificate na Diploma lazma uwe na D ya math. sasa wewe una F ya math itawezekanaje hapo.
Ndio nakuambia hicho kigezo cha D ya Math haina mchango wowote kwenye Information Technology.

Mimi nilifaulu vizuri sana Math lakini kuna Staff waliosoma Arts na F zao za Hesabu na wengine waliacha kabisa Physics lakini ofisini hao ndio wanatoa solutions kwenye mfumo

Na watu wa Networking wengine ni Form IV failures waliosoma mtaani kwenye colleges

Sijui kama unaelewa
 
sijakwambia math ndio inakufanya kuwa IT ila ili upate iyo bachelor ya IT math lazima uwe na D na aanze na certificate kama mna vyuo vyenu nendeni kasomeni na hiyo F ya math
 
hujaambiwa lazima uwe mathematician naomba uelewe kitu kimoja. IT haiusiani na kujua math hata mimi nimesoma IT nina degree na sio mzuri wa math. Ila vigezo vya kuanza kusoma IT kuanzia Certificate na Diploma lazma uwe na D ya math. sasa wewe una F ya math itawezekanaje hapo.
Lakini kama hujui hesabu masomo ya IT huyoboi asee asikudanganye mtu IT ni logic make unasoma circuit na programming
 
Ili uweze win kitu chochote,first fall in love then juhudi na executable plan,mm nataka baada ya miaka 5 niwe na degree ya IT.
Nenda kasome deploma ya IT{2} yrs then degree 3yrs hakikisha unanunua pc yako ,łąki 3 hukosi used one.
Nenda engineer mtarajiwa ninauhakika utaweza kwakua nia ipo
 
sijakwambia math ndio inakufanya kuwa IT ila ili upate iyo bachelor ya IT math lazima uwe na D na aanze na certificate kama mna vyuo vyenu nendeni kasomeni na hiyo F ya math
Mkuu inaonesha huna kwenye hii dunia ya kisasa. Nyie ndio wale wanaosema ili mtu asome PCM au EGM au PGM basi lazima awe na A au C ya basic maths!

Dunia imebadilika mzee acha kuwa primitive! Kuna watu wana hizo F za hesabu na leo ni mainjinia wakubwa kwenye hili taifa! Sasa jiulize hako ka IT kako na engineering ni kipi kina hesabu?! Ukipata jibu badili mentallity yako!

NB: kuna chuo kimoja kiko canada kinachukua mpaka watu waliosoma sociology katika degree za data science na ML na wanasoma wanamaliza! Sasa ML na IT ni kipi kina hesabu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom