Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Serikali kupitia Bodi ya Taaluma ya Ualimu nchini (TTPC) imeanza maandalizi ya kuratibu na kutoa leseni rasmi za ufundishaji...
Habari za leo?
Kwa miaka zaidi ya 13 nimekuwa memba ndani ya JF nimeona na kupata msaada mkubwa wa mawazo toka kwa memba wenzangu asanteni sana.
Kuna kijana wangu wa kiume amemaliza kidato cha...
Habari za muda ndugu zangu.
Binafsi nimewiwa sana kujiendeleza kwa kusoma Masters katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University) kwani mbali na ubora wa elimu inayopatikana napo na...
Natamani kujua kuhusu open university ni chuo bora kwa kusoma natamani nikasomee hapo maswala ya ICT?
Lakini pia natamani kujua kuhusu course ya ICT soko lake la kuweza kuajiriwa na kujiajiri...
Kati ya vyuo 100 bora vya Africa.,chuo kikuu cha Dar. Es salaam kimekuwa cha nne kwa ubora wa elimu.
Na kwa Afrika Mashariki kimekuwa cha kwanza. Kikifuatiwa na Makerere.
Hongera maprofesa wa...
Wakuu habari za wakati huu!
Mimi ni kijana wa miaka 26, nimechaguliwa UDOM diploma in pharmacy round 2, kalenda inaonyesha kuriport ni tarehe 19 , mpaka muda huu sina ada toshelevu. Nimewaza ni...
Hili jukwaa la Elimu ni moja ya jukwaa ambalo wasomaji wake ni wachache sana ila naomba kwa wale watakao pata nafasi ya kuona huu uzi naombeni msaada wenu.
Naomba msaada juu ya hili jambo,
Mwaka...
Wingu zito la sintofahamu limekikumba Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania) baada ya kuibuka kwa tuhuma nzito zinazodai kuwa zaidi ya wahitimu 300 wa mahafali ya 44 hawakupata matokeo yao...
Nimekutana na changamoto wakati wa kujaribu kujiunga na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), na jambo ambalo limenipa kero zaidi ni kukosa msaada kupitia njia rasmi za mawasiliano zilizowekwa na...
Haiwezekani sifa za kujiunga na chuo kikuu na diploma ziwe sawa lazima pyramid ionekene,
Hivyo basi mifumo ya TCU iondoe kabisa sifa za waombaji wenye daraja la pili na tatu kujiunga na chuo...
Hili neno maana yake kubwa ni hali ya kupata furaha, raha au kuridhika mara moja bila kusubiri kwa faida ya baadae......
Kwenye maisha yetu ya kila siku tunaweza kuwa tunapitia hii hali...
Sisi wanafunzi wa VETA Mpanda, kuanzia mwezi wa tano tunasubiri kufanya mtihani wa PSV na HGV. Tuliambiwa mfumo umebadilika na tunapaswa kusubiri kukamilika kwa usajili kwenye mfumo mpya kwa ajili...
Chuo kimepitisha waraka mpya unaoainisha kuongezeka kwa gharama za kuishi hostel, kulipia mitihani na mambo mengine hadi kufikia zaidi ya laki tano na hii ni njee ya ADA hivyo inatuthiri sisi...
Shule ya Msingi Upendo, iliyopo Wilaya ya Ubungo, eneo la Mbezi karibu na Roundabout ya Goba, ina utaratibu unaowalazimisha wazazi kugharamia shughuli ambazo zinapaswa kufafanuliwa na mamlaka...
Wahitimu wa ngazi ya Diploma kwa mwaka wa masomo 2025/2026 tunakabiliwa na changamoto ya kushindwa kuomba nafasi za masomo ya Shahada kwa mwaka huu kutokana na matokeo yetu kutokuwa yamewekwa...
Kwenye maisha yetu ya kila siku huwa tunapitia hali ya kutaka kukua lakini inashindikana kwa sababu ya mazoea yetu ya kila siku......
Ni rahisi sana kujenga tabia inayokurudisha nyuma lakini ni...
Hoja ya Mdau baada ya tangazo hilo 👇🏻
Mmh, hili ni ongezeko kubwa sana la gharama kutoka 97,400/= hadi 255,400/=, sawa na ongezeko la zaidi ya 100%.
Awali gharama za hosteli zilikuwa takribani...
Habari za jioni,
Rafiki yangu anataka kurudi Tanzania kutoka South Africa na watoto wake wawili. Kwa madarasa ya huko wote ni seniors wako grade 8 and 10.
Msaada kwa yafuatayo:
Nini azingatie...
Licha ya eneo hilo kuzungukwa na viwanda vingi, shule hiyo haina samani za kutosha kwa wanafunzi wala walimu. Ukifika shuleni hapo, hali iliyopo inasikitisha.
Je, Mkurugenzi na Meya wa Manispaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.