Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habar za asbh, nauliza kati ya kozi 3 hapo juu, ni ipi ambayo ipo more marketable zaid kwa ngazi ya bachelor?
0 Reactions
32 Replies
11K Views
Eliasi Kihombo T.O mwaka 2006 na Tishio katika baadhi ya vitabu vya advanced physics katika kurasa ya mwanzo kabisa ameandika kama ifuatavyo:- ""This book contain embedded holograms in some pages...
7 Reactions
35 Replies
19K Views
Habari zenu jamani, Nauliza ukisoma degree ya public administration. Unaweza fanya kazi gani kwa hapa Tanzania? Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni ipi Kati ya hizi combination mtu akipiga One jamii inamuangalia tofauti? Tuchukulie wote wana one ya tano (1.5) Nani ataonekana zaidi ya wenzie? 1 - PCM 2 - PGM 3 - PCB
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari zenu Wana JF, Mtu aliyesoma veta kozi ya muda mfupi anaweza kusoma diploma?
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu SUA. Naombeni msaada wa jinsi ya kuandika barua ya kuhairisha mwaka chuo kikuu!!
0 Reactions
25 Replies
19K Views
Habarini wanajamvi Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kwa muda mrefu sasa najaribu kufanya mawasiliano bila mafanikio kwani namba zao hazipokelewi na email address haijibiwi. Kama kuna namna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenye uelewa kuhusu hatua za kubadili jina na nini kinatakiwa ili liweze kubadilika anipe mwongozo maana ni mhitimu wa VETA vyeti vingine vinasoma PASCHAL ila cheti cha VETA ni PASCAL Msaada...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nawezaje kuyapata hayo mapepa tafadhali. Mwenye namna ya kujua kupata mapema anipe connection kwa namna yoyote ili lengo litimie. Location; Dar es Salaam. Kwa maongezi zaidi PM ihusike
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nilikua naomba kujua kwa anaefaham vyuo vya nursing vinavyotoa march intake please
0 Reactions
0 Replies
839 Views
wanajukwaa la elimu kwa JF naomba msaada napataje form ya maombi ya chuo cha DIT(Dar es salaam Institute of Technology). Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
3K Views
deleted
0 Reactions
1 Replies
838 Views
Wana Jf naomba kuuliza Ivi mtu aliemaliza diploma ya clinical medicine anaweza chukua degree ya anaesthesia kama ana specialized au itabidi ashuke chini tna upya kwa ngazi ya diploma??
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Habari! Naomba kifahamishwa majina, sehemu na kiwango cha ada kwa shule za msingi zinazofuata mtaala wa kimataifa (international Schools) zenye ada ya kawaida. Sihitaji hizi IST n.k Shukran!
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Salaam wanajukwaa , naitwa omary mkazi wa iringa, ninaweza kuandika mambo yanayohusu fasihi(ushairi, riwaya,tamthiliya na hadithi fupi), sijawahi kufanikiwa kuandika kitabu lakini naishia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Inafahamika kwa ngazi za chini za elimu mathalani elimu ya sekondari mwanafunzi akiona ana mapungufu sehemu anaomba kukariri darasa na anakubaliwa bila tatizo lolote,je jambo hili kwa ngazi ya...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Hii shule ni Moja kati ya shule bora katika kuaanda watoto level ya primary. A full Graduate wa shule hii humlinganishi na katoto ka shule yeyote ile hapa Tanzania katika communication skills...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Nilitembelea Center moja katika zile zinazotoa elimu ya Computer Nikakuta mfumo tofauti kidogo na mifumo tuliyozoea. Wao wanatoa Diploma kwa mwaka mmoja, Advanced Diploma kwa mwaka mmoja zinaitwa...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Nina ndugu yangu alikuwa IFM, cheti kilikuwa na makarai mengi kwasababu yeye chuoni alikuwa mzee wa bata sana, Baada ya kuona ana GPA ya 3.1 hakufurahi kwasababu kazi ya ndoto yake ilikuwa kuwa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom