Jinsi ya kuandika barua ya kupostpone mwaka

Jinsi ya kuandika barua ya kupostpone mwaka

Joined
Feb 20, 2017
Posts
62
Reaction score
72
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu SUA. Naombeni msaada wa jinsi ya kuandika barua ya kuhairisha mwaka chuo kikuu!!
 
Aisee.... mwanafunzi wa chuo kikuu hujui kuandika barua?

Kwamba huwezi kujieleza ama?

Unashindwa kusema tu kwamba, "mimi Kelvin Patrick, mwanafunzi wa mwaka fulani, mwenye namba za usajili kadhaa kadhaa, naomba kuahirisha mwaka wa masomo kwa sababu moja mbili tatu?"

Seriously?
 
Aisee.... mwanafunzi wa chuo kikuu hujui kuandika barua?

Kwamba huwezi kujieleza ama?

Unashindwa kusema tu kwamba, "mimi Kelvin Patrick naomba kuarisha mwaka wa masomo kwa sababu moja mbili tatu?"

Seriously?
Hapana,sishindwi ila nataka kupata uhakika wa kjinsi ninavyoandika Kama ni sahihi au hapana aisee,,isitoshe hata masomo yakuandika andika barua nilifaulu kawaida na ckuwahi andika mfumo huu wa barua,
 
Kazi ipo!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nisamehe mkuu ni kweli nahitaji kujua,ila nmekukera kwamba kwa level niliyopo sipaswi kuuliza vitu hivi[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56],, usisahau Kama bado nasoma Yan bado naendelea kujifunza yaan Kama ungefunza ni heri zaidi,,
 
Mkuu wakati mwingine hii ni kukosa umakini,yaani chuo kizima umekosa wakuuluza hadi uje huku uulize mtandaoni

Ok, Fanya hivi:-
1. Chukua karatasi plain isiyo na maandishi.
2.chukua kalamu ya wino mweusi au bluu
3.chukua rula kisha piga msitari Wa pambizo kama karasi yako haina msitari Wa pambizo.
4.andika anwani yako ya chuo mkono wakulia upande Wa karatasi,baada ya hapo chini ya anwani yako andika tarehe ya siku barua ilipoandikwa.
5.andika anwani mkuu Wa chuo chako upande Wa kushoto Wa karatasi.
6.barua yako lazima ipite kwa mwadili(dean) kwahiyo andika K.k mwadili ,kisha andika anwani ya mwadili wako.
7.anza na opening clause, dear sir/madam,baada ya hapo kichwa cha barua dheni ,salami ya maamkizi,lengo la barua,mwisho Wa barua,sahihi yako na mwisho ni jina.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Japo kwa majungu ila nashukuru mkuu,,kunapahali nilikuwa nahisi nmekosea ,,umenielewesha vema,,shukran saaana
 
kwani bumu hakuna sikuhizi ama sielewi
Mzee Hali so shwari,bumu halienei changanya kujilipia Ada Mambo yanabana,,
Yaan kabla nilikuwa napata 98%ya mkopo,,ila kuanzia mwaka mwaka huu wa masomo 2020/2021 ,nmeshangaa napata only 10% ,,nmefatilia nmeshindwa ,Sina namna ,,
 
Unapiga K-Vant man? Karibu tuendeleee waiter ongeza glass nyingine na ka energy [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482] sijadharau ila mm na shule wapi na wapi?
 
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu SUA.Naombeni msaada wa jinsi ya kuandika barua ya kuhairisha mwaka chuo kikuu.
Unaanza na anwani yako bila kusahau Admission number yako.
Unawamwandikia Mkuu wa Deputy vice Chancellor Academic k.k. Head of Dept, kk.Dean of Faculty ( kk- kupitia kwa) na kk kama una mshauri wako kishule.

Kuh: MAOMBI YA KUAHIRISHA MWAKA WA MASOMO 2020/..... KWA SABABU ZA KIAFYA./KIFAMILIA

Tafadhali husika na somo hapo juu.

2. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo wa..... katika kozi ya ......kitivo cha ...... Namba yangu ya udahiri ni.....

3. Kwa heshima na unyenyekevu ninaomba kuahirisha mwaka wangu wa masomo kama nilivyoulezea hapo juu kwa sababu za kifamilia zitakazosababisha nisiweze kufanya vema katika kazi zangu za masomo

4. Aidha ninaomba kuanza tena masomo katika chuo chako katika mwaka wa masomo wa...... kwani katika kipindi hiki nitakachokuwa nimeahirisha nitakuwa tayari nimeweza kushughulikia kikamilifu matatizo ya kifamilia ninayokabiliwa nayo

5. Nitanguliza shukurani za dhati na naomba kuwasilisha.

Ndimi

......................................
Admission number.........

NB: kama ni sababu za kiafya unaweza kuambatisha vyeti vya matibabu na recommendation letter ya Daktari
 
Duh.....
na SUA ndio kati ya vyuo vikubwa bongo , baadae utarudi hapa unata uandikiwe assignment
Ukubwa wa SUA siyo kipimo Cha kupatkana kila kitu in mind content,,asilimia kubwa apa kunawanafunzi walosoma PCM,EGM,PCB,CBA,PGM,CBE,michepuko ya sayansi na social science siyo art,,kuuliza siyo ujinga kwasabu nataka kujua usahihi wa Jambo ninalotaka kulifanya,,,mjinga ni ww unayeshangaa kwann nauliza ili hali hujui najua kiasi gani!,Kama unajua ulipaswa utoe maelekezo kwa ulichoombwa kutolea maelezo,baadala ya kuidhininsha ukubwa wa chuo,,babako kuwa na Mali haimaanishi zile Mali ni zakwako hatakama ww ni mwanae!, [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
 
Patric sijui nasoma course gani, lakini nakushauri kuwa nenda kwa mkuu wa idara uliosajiliwa huwa kuna sample template za barua kama hii muombe....kama unaona uzito basi nenda kwa waziri wa Academics au mwanasheria wa SUASO watakupa utaratibu mzuri na hata kukushauri aina ya maneno yanayotakiwa kuandikwa (kwa uhalisia ndio kazi yao).
 
Tayar nishaandika toka Jana,imekamilika muda huu nimetoka kuikabidhi,
 
Patric sijui nasoma course gani, lakini nakushauri kuwa nenda kwa mkuu wa idara uliosajiliwa huwa kuna sample template za barua kama hii muombe....kama unaona uzito basi nenda kwa waziri wa Academics au mwanasheria wa SUASO watakupa utaratibu mzuri na hata kukushauri aina ya maneno yanayotakiwa kuandikwa (kwa uhalisia ndio kazi yao).
Nasoma AGRICULTURAL ENGINEERING mwaka wa tatu,
 
Nasoma AGRICULTURAL ENGINEERING mwaka wa tatu,
Duh! utakuwa umejipata kwenye jambo serious sana...maana kuahirisha masomo mwaka wa tatu, katikati ya semester ya kwanza! huwezi kabisa kuvumilia maana ni mwezi wa sita tu namaliza chuo Patric! Ulipata nafasi ya kushauriana na Dr Baanda juu ya hili, au hata Dean of students! Pole sana sana!
 
Back
Top Bottom