Msaada wa past paper za medical laboratory NTA level 4

Cainan

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2017
Posts
485
Reaction score
580
Nawezaje kuyapata hayo mapepa tafadhali. Mwenye namna ya kujua kupata mapema anipe connection kwa namna yoyote ili lengo litimie.

Location; Dar es Salaam.

Kwa maongezi zaidi PM ihusike
 
Pepa za chuo sio kama za sekondari, kila chuo na staili yake ya ufundishaji na utungaji wa mitihani.

Waone wanaokutangulia hapo chuoni kwako, uwaombe hizo past papers
 
Katika chuo chetu sisi ndo wa kwanza kabisa ..hata hivo mtihani kwa nacte ni mmoja
 
Ok, kwa urahisi zaidi waone marafiki waliopo kwenye vyuo tofauti watakusaidia.
 
Back
Top Bottom