Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 599
- 206
Habari za muda huu na hisi kuna sehemu na kwama kwenye kusoma kwangu hivi ni kipi natakiwa nianze kusoma kati ya notes za mwalimu au hivi vitabu reference books shida yangu kubwa niwe na utambuzi wa mambo mengi kuna bro wangu aliniamia kuanza kusoma notes za mwalimu ni uzembe anasema nisome reference books.
Tatizo linakuja natumia nguvu nyingi sana. Naomba kuuliza hivi ipi njia nzuri ya kujifunza?? Kuanza kusoma notes za mwalimu au reference books?? Au mna nishauri nn mdogo wenu?? Samahani kama kuna tatizo kwenye lugha nilizotumia