Ushauri Master's of sociology!!

Ushauri Master's of sociology!!

Corluka Neven

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2017
Posts
325
Reaction score
372
Nina mtoto wa dada yangu amemaliza degree ya sociology!!!

Mwaka 2019 Toufil kisanji mbeya!!anataka kusoma master ya sociology UDSM!!hii ni baada ya yeye kusema anaona bora akasome mastazi ili awai kuajiriwa mapema kwa iyo sociology yake??

Wataalu ebu nipeni ushauri juu ya hii kozi na katika soko la ajira? maana huwa siielewagi kabisa!??
 
Huna ajira unaenda soma masters labda kama anasomeshwa..ila bora ukasome masters kama ajira uliyonayo inakuforce kusoma tofauti na hapo ni kuchoma pesa tu..


#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom