Kipaji na elimu huenda sambamba

Kipaji na elimu huenda sambamba

Edward Misasi

New Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
4
Reaction score
1
Ila me najiuliza kibongo bongo wasanii wengi hawajasoma ila wametusua bila elimu, je ni kweli kipaji na elimu hutegemeana?
 
Ila me najiuliza kibongo bongo wasanii wengi hawajasoma ila wametusua bila elimu, je ni kweli kipaji na elimu hutegemeana?
achana, na mambo ya usani mkuu, tunataka vipaji vya, kugundua vitu. Mgoogle ELON MUSK hapo utajua kipaji unacho kiongelea.
 
Back
Top Bottom