Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Anonymous
Mimi ni mzaliwa wa Mkoa wa Kigoma, Wilaya ya Uvinza, Kitongoji cha Lagosa, Kijiji cha Kanyase, huku kwetu kuna kero ambayo bora niilete Duniani waione. Kutokana na uchache wa idadi ya walimu wa...
1 Reactions
3 Replies
386 Views
Anonymous
Huku kwetu Mtwara, kuna changamoto inayowakuta Wanafunzi wa Chuo cha St. Augustine University of Tanzania (SAUT) Tawi la Mtwara linalojulikana kwa jina la Stella Maris Mtwara University College...
1 Reactions
2 Replies
250 Views
Katika dunia ya kisasa na inayoakisi utandawazi wa kipekee hatuitaji tena wanafunzi wetu wa msingi na sekondari kuvaa uniform kwani zinawanyima uhuru wao kuonyesha ubunifu wao katika mavazi na...
12 Reactions
39 Replies
706 Views
Heri ya Mapinduzi kwa wazanzibari wotee. Necta hivi karibuni wameamua kutokuweka majina ya wanafunzi katika matokeo. Pamoja na mambo ya kulinda taarifa binafsi kwa hili hapana. Kujua ufaulu wa...
9 Reactions
53 Replies
924 Views
Katibu mtendaji mkuu wa baraza hilo Dr Joyce Ndalichako amesema mmoja kati ya wanafunzi waliofanya mtihani huo alifikia hatua ya kuandika mashairi ya bongo fleva baada ya kukosa cha kujibu...
1 Reactions
92 Replies
14K Views
Habarini wana JF, Mimi ni mwanafunzi kutoka chuo kikuu kimojawapo jijini Mbeya. Chuo hiki kimekuwa kikibadili sera zake Kila unapobadilika mwaka wa masomo,,, ni hatua nzuri lakini Kuna sera...
2 Reactions
4 Replies
243 Views
Hellow , kuna yeyote alieomba huu ufadhili?mchakato upoje hadi Sasa?
1 Reactions
0 Replies
173 Views
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ilifanya maboresho ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 na kupata Toleo la Mwaka 2023 na mitaala iliyoboreshwa. Utekelezaji wa mitaala ulioboreshwa kwa...
2 Reactions
8 Replies
748 Views
Wakuu kwema!.. ushauri unahitajika tafadhali degree ipi Bora kati ya 1. Bachelor of education in special Education (BED SB) 2. Bachelor of Law (LLB) NB Msomaji tayari ni muajiliwa idara ya...
4 Reactions
9 Replies
309 Views
Niaje? wadau wa mtandao huu wa Jf salaam ndugu zangu Poleni na mishe mishe za kila siku muhimu afya na uzima ndugu zangu, Sina maneno mengi sana ndugu zangu Shida yangu ni hii kama Kuna mwanajf...
6 Reactions
14 Replies
333 Views
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tumelipia gharama za hostel lakini cha ajabu tunaambiwa vyumba / hostels zimejaa ilihali Mwanafunzi umeshalipia gharama za hostel. Kibaya zaidi mfumo wa...
5 Reactions
55 Replies
1K Views
Kumbe hizi shule zipo Job Ndugai High school Janeth Magufuli Secondary School Jenister Mhagama Secondary School Joel Bendera High school Janeth Magufuli Girls Secondary School Juma Zuberi...
3 Reactions
7 Replies
268 Views
Wakuu naomba msaada wa kujuzwa utaratibu wa kufwatwa nataka kurudia mtihani wa kidato Cha sita tahasusi ya PCM.
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Nina mdogo wangu wa kiume ali graduate kidato cha 4 mwaka 2023 alipata division 3. Alipangiwa college kile chuo kipo pale temeke cha utalii ( course ya kuongoza watalii) Niliwaeleza wazazi wangu...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Nimeomba nafasi mwanafunzi ahamie shule ya Sekondari Mkundi Mlimani, Morogoro Manispaa ila nje ya michango mingine nimeambiwa nitoe laki moja kama "Mchango wa meza na kiti" kwakuwa Mkuu hapokei...
0 Reactions
2 Replies
180 Views
🕌 Namna ya Kuomba Toba kwa Ufupi (kwa Muislamu): 1. Tambua kosa 👉 Fahamu kuwa umefanya dhambi mbele ya Allah. 2. Jutie kosa hilo kwa moyo wa kweli 💔 Usifurahie dhambi uliyoifanya, jihisi...
2 Reactions
8 Replies
187 Views
Hivi matokeo ya form 2 yametoka au la?mbona naperuzi kwenye website yao sioni kitu.
2 Reactions
19 Replies
871 Views
Msaada wa kupata notes za Form 1 Hadi 4 kwa PDF Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
37 Replies
11K Views
Gm GTs... I have chosen opening this thread because I want sophiticating my English writing muscles, along side speaking that in a way I can speak though in no way I want be, but I got ways am...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Hii ni special thread kwa wale wanaorudia mitihani ya CSEE au ACSEE yaani Watahaniwa binafsi waliowahi kufanya mtihan wa Necta na wa Maarifa Qt watupe mrejesho yaani 1.Mbinu...
1 Reactions
70 Replies
14K Views
Back
Top Bottom