Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo, tarehe 1 Juni 2026, kimewaapisha viongozi wapya waliochaguliwa kuiongoza Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOSO) kwa mwaka wa uongozi 2026/27...
Baadhi ya Maafisa wa NACTVET wanafelisha vyuo vya kati, kuchelewesha kua-prove maombi yao ili wasipate AVN Number kwa wakati washindwe kwenda vyuo vikuu, lakini wanafanya hivyo ili kupewa rushwa...
WanaJF salamu,
Ninaleta mada hii mbele yenu nikiwa na majonzi na masikitiko makubwa kutokana na hali halisi inayojiri katika Chuo cha Maji (Water Institute) kwenye Muhula huu wa Pili (Semester...
Wakuu naombeni msaada wenu wa kimawazo kwenye hili.
Mimi ni mwalimu wa physics na chemistry ila sijabahatika kupata ajira serikalini, sasa kuna shule mbili nafundisha let say shule X na shule Y...
Habari
Rejea SoMo hapo juu kuhusu hii shule.
Wanafunzi wanapopangwa shule za serikali baada ya matokeo darasa la Saba kuna makundi haya.
1. Vipaji maalumu
2. Mbweni
3. Teule
4. Kitaifa
Ufafanuzi...
FUNDED SCHOLARSHIP OPPORTUNITY: PhD & POSTDOC IN CHEMISTRY IN CHINA
Are you a Master's or PhD in Chemistry graduate looking for an opportunity to study at a World-Class University? A top-tier...
Udom wameingia mwaka mwingine wa masomo mwezi wa pili sasa huu unaingia lakini overpayment zetu bado hawajatupa. Na sasa tunaelekea kwenye graduation lakini kimya hamna mpango wowote wakutupa hizo...
Watoto wangu wanaishi Chanika, mkoani dsm.
Naomba kufahamu mtaalamu wa lugha za kichina na kijerumani au sehemu rahisi kwao kwenda kujifunza. Ninashukuru kwa msaada huo
Hii kero naomba kuipeleka moja ka moja kwa mkuu wa shule ya sekondari Bundikani iliyopo Halmashauri ya mji wa Kibaha.
Kwa sasa uhamisho wa wanafunzi unafanyika kupitia mfumo so ni suala la mzazi...
Ndugu zangu naomba kujua vyuo tajwa hapo juu vinapatikana wapi ?
Elimu yangu ni form 4 . Nilipata dv 3 natamani kusoma mitambo hio .kuopperate.
Naomba muongozo
Wakuu heshima kwenu.
Mimi ni binti wa umri wa miaka 25 na ni kiziwi, mwili wangu ni dhaifu kiasi sina nguvu za kufanya kazi ngumu na mizunguko mingi maana miguu inasumbua inakuwa inauma na ganzi...
Naomba mamlaka husika zifuatilie kinachoendelea katika Shule ya Msingi MAFIGA, Morogoro.
Wanafunzi wanatakiwa kupeleka TSh 1,300 kila siku, TSh 1,000 kwa kila mtihani, na kulazimishwa kuhudhuria...
Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha.
Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza...
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof. Lughano Kusiluka, leo Ijumaa tarehe 22 Mei 2026 katika ukumbi wa CIVE Auditorium, amezindua rasmi kampeni za uchaguzi wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo...
Habari Wana nzengo
Mimi ni mdau wa maendeleo ya watu wenye ulemavu nimekuwa nikifuatilia vyuo vya watu wenye ulemavu vilivyokuwa chini ya ofisi ya waziri mkuu ambako kwa Sasa vimehamia katika...
Technical Education in Engineering ni course inakuwa offered hapa chuo cha must Mbeya lakini mtaani haitambuliki marketing yake ni ndogo mno ni ngumu kupata ipo kwa wanafunzi wanaosoma Technical...
Mimi ni mzazi niliye Arusha, mtoto wangu amehitimu kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Mlangarini, iliyopo Arumeru. Nimejikuta kwenye hali ya sintofahamu na masikitiko makubwa kuhusu jambo...
Kwanza nadhani kwa wote waliosoma st. Magret wanakumbuka jinsi tulivyolima mashamba na kung'oa visiki vya kahawa.
Je, mnakumbuka tulivyokuwa tunacheza netball na Ashira Girls wanatufunga...
ndugu watanzania nadhani hivi sasa watanzania tunatakiwa tuanalie na watu wa chini jamani...ufisadi umeanza kufika hadi vyuo vikuu vya dini...tuna mwezi sasa tunaona tangazo la chuo cha tumaini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.