Lelon Mush
Member
- Sep 16, 2019
- 64
- 15
Somo la piliZa somo gani
Somo la pili?????Somo la pili
Yani O level
Mnasomea kwenye PDF Siku hizi
Safiiii
Kusema kwamba Tehama inaanza kufanikiwa
Alexander
Nmeidoqmwnload but sijapata ninachohitaji m natafuta past papers kutoka shule bora mf Marian,St Francis e.t.cDownload application inaitwa THL.
Unapata notes za masomo yote kuanzia standard one mpaka form 6.
Plus past papers na marking scheme zake.
Kama upo dar nenda mchikichini utapata hizo past papersNmeidoqmwnload but sijapata ninachohitaji m natafuta past papers kutoka shule bora mf Marian,St Francis e.t.c
Hata Mimi nasubiri mkuuNina past paper notes za kutosha.....zipo kwenye computer nkipata mda ntakuwekea hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka naomba na mimi nina uhitaji mkubwa sana wa hizo ppastpaperNina past paper notes za kutosha.....zipo kwenye computer nkipata mda ntakuwekea hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nazingojaNina past paper notes za kutosha.....zipo kwenye computer nkipata mda ntakuwekea hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh
Bado tu Hujapata muda Mkuu?Nina past paper notes za kutosha.....zipo kwenye computer nkipata mda ntakuwekea hapa
Sent using Jamii Forums mobile app