Wakuu habarini za wakati huu, kuna swala limenishtua sana, na sidhani kama ni jambo la kulifumbia macho kwa serikali.
Suala la Elimu hasa maeneo ya vijijini limetupiwa mgongo na serikali.
Shule...
Najua vijana wengi wa kitanzania hasa wa umri kuanzia miaka 17 na kuendelea, huwa tunapenda sana kujifunza fursa mpya zinazotokana na maendeleo ya sayansi ya teknolojia. Kwa sasa ukiangalia...
Wasiojua Kiingereza na wana Elimu ambayo wameipata kwa lugha ya Kiingereza watakuja na utetezi wao kuwa Kiingereza ni utumwa, mara Elimu si lugha, mara utawasikia Wachina mbona wana viwanda...
No greetings kwa Leo, Nina hasira sana!
Nadhani dhana ya utumishi wa umma iendane na uwezo. Unaweza ukasema ni kosa dogo lakini Kuna watu wamepewa madeni yasiyo Yao kwa uzembe wa namna hii. Kosa...
Habari za muda huu ndugu wana jukwaa.
Niende moja kwa moja kwenye mada; nilihitimu kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM na kupata alama zifuatazo;
Physics- D
Chemistry- E
Advanced...
Ndugu zangu naombeni msaada Nina mtoto anaingia darasa la pili 2026.
Sasa baba yake analazimisha mtoto aende shule ya kulala bila sababu za msingi na huku Sheria hairuhusu.
Nipo hapa kuomba mtu...
Habari wadogo zangu Kwa wale waliomaliza mwaka huu waliosoma PCB &PCM naomba niwaelezee course ambazo zinahuitaji mkubwa sana Kwa upande wa afya serikalini Mimi ni mtumishi wa afya nitakushauri...
MJADALA WA ELIMU NA UDINI TANZANIA
Adui wa Waislamu ni utamaduni wa kiarabu wa Ghuba
 Ukristo, ama Uislamu na serikali si tatizo katu!
Na Mobhare Matinyi, Washington DC
Naomba...
Naomba ujumbe au andiko langu lifike kwa Viongozi wanaohusika, binafsi hali yangu ya maisha ya chuo itakuwa mbaya sana, mimi ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma nasoma Shahada ya Uuguzi na...
Habari za mda wakuu? Napenda kuuliza vigezo vipi vinatakiwa kujiunga na mitiani ya bodi ya ununuzi na ugavi kwa mtu mwenye elimu ya kidato cha nne ? Anaanza na hatua ipi? nawasilisha kwa msaada zaidi
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeona taarifa potofu kupitia mtandao mmoja wa kijamii kuhusu kutokufungua shule Januari, 2026.
Tunapenda kuutaarifu umma wa watanzania na wadau wote wa...
Haya wenye Akili karibuni mtuchambulie ila ninachokijua na nilicho na uhakika nacho 100% ni kwamba 75% ya waliomaliza Vyuo Vikuu nchini Tanzania wana Lower Second Class GPA na wachache sana wana...
Dr. Jakaya Mrisho Kikwete has re-appointed Prof. Bonaventure Sylvand Ishengoma Rutinwa to the position of Deputy Vice Chancellor - Academic from 2021/2022 to 2024/2025 effective from 1st December...
Habari Wana Jamiiforum, naomba mpokee salamu za msimu wa sikukuu, hususan Heri Christmas na Mwaka mpya 2026. Niwaombe mpate nafasi ya kupitia mambo haya machache muhimu ya kuzingatia unapochagua...
Wakuu salamu!
Hii video ina uhalisia wowote na elimu zitolewazo vyuoni tunamosoma? Umeelewa nini kwa kuitazama video hii kuhusu elimu ya chuo kikuu hasa kwa vyuo vyetu vya kitanzania?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.