Hii ndo mistari ya bongo fleva iliyoandikwa na mwanafunzi wakati akifanya mitihani ya kidato cha 4

jozzb

Member
Jun 30, 2011
87
20
Katibu mtendaji mkuu wa baraza hilo Dr Joyce Ndalichako amesema mmoja kati ya wanafunzi waliofanya mtihani huo alifikia hatua ya kuandika mashairi ya bongo fleva baada ya kukosa cha kujibu ambapo aliandika :“nashukuru sana wote wanaosahihisha huu mtihani wangu, nitakapofeli nitaendelea na fani yangu ya bongo fleva, majita yangu yako levo za juu na sio East zuu, ukiona vyaelea ujue vimeundwa”

Joyce amesema mtahiniwa aliandika mistari katika kila sehemu alipotakiwa kujibu swali, swali la sita na la saba aliandika hiyo mistari hapo juu, swali la kumi na moja ameandika......

CHANZO <<<HAPA>>>
 
..Kama siyo Ganja..basi ni Mkuu wa Pepo mchaf.
Kwa akil za kawaida,angeacha blank kama hajui..ts not funny anywaw!
 
Wazazi wa siku hizi hawataki kulea watoto wao! Sio wababa wala wamama, kukimbizana na starehe za mjini jumatatu hadi jumatatu!
Kila mtu anavuna alichopanda, I'm sure report cards za mtoto kama huyu zilikuwa kila temu zimeandikwa na kupelekwa kwa mzazi.
 
Huyu mtoto wamwingize katika kili Music Award anaweza kupata tunzo.
 
Kwanza, hii habari ingebaki kati ya NECTA na hao watukutu(wengine wameandika matusi,mambo ya mpira). Kuitoa ni kutafuta wafuasi wengine. Kwa kuwa maji yameshamwagika, majina ya hao watukutu yaweke hadharani na iwe ndo utaratibu kwa wale wote wanaofanya masihara kwenye karatasi za majibu. Lakini pia wazazi/walezi lazima tukubali kuwa dunia imepinduka na kama tunataka vijana wetu wawe na maadili mema, ni lazima tuwekeze katika hilo.Tutenge muda wa kutosha kufuatilia nyendo za vijana wetu nyumbani, mtaani na huko mashuleni. Vinginevyo, there is more to come!
 
Back
Top Bottom