Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wakuu nakumbuka niliwahi kuleta wazo la uchoraji wa katuni zinazohusu sayansi na teknolojia. Lengo lilikua nikuleta uwelewa juu ya sayansi pamoja matumizi yake yaani technology. Lakini mpaka...
2 Reactions
2 Replies
191 Views
Inanifanya niweze kuelewa vitu vingi sana. Pia nilisoma Odinary diploma nilishia NTA level 4 ila Mpaka leo sijapata kujua inanisaidiaje. Na nyie naomba mtoe ushuhuda kua diploma au A level inakupa...
3 Reactions
201 Replies
3K Views
Anonymous
Wizara ya Elimu Tanzania Msipo angalia hili la DIT linakuja na sura nyingine Taasis ya Teknolojia Dar DIT ni Taasis maarufu yenye kutoa ujuzi lakini kwenye suala la huduma ni kama Taasis...
1 Reactions
0 Replies
172 Views
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden unapenda kuutaarifu umma kuhusu fursa za ufadhili kamili wa masomo ya Shahada ya Uzamili unaotolewa na Taasisi ya Sweden (Swedish Institute...
1 Reactions
0 Replies
446 Views
Habarini ndugu zangu, Naombeni ushauri Mimi ni mwalimu by professional level ya diploma. Nipo interested sana na masuala ya IT hivyo natamani hata future yangu nije nijiendeleze kwenye IT...
1 Reactions
7 Replies
413 Views
Katika mazingira ya sasa ya elimu na ajira, vijana wengi waliomaliza kidato cha sita hukumbwa na changamoto kubwa ya kuchagua kozi sahihi ya kusoma chuoni. Wengi wao huchagua kwa kufuata mkumbo...
1 Reactions
10 Replies
666 Views
Field areas ya procurement and logistics management ni zipi?
1 Reactions
3 Replies
264 Views
Sio jambo geni wala la kushangaza kwa baadhi ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini Tanzania kukutana na changamoto mbalimbali baada ya kumaliza masomo yao. Kwa kawaida, kumaliza shahada au stashahada...
1 Reactions
2 Replies
218 Views
Simaanishi kusoma hakuna maana, bali unaweza kusoma sana kwa kiwango kikubwa cha elimu lakini ukaja kukuta kitu kilichokufanya ukapata mafanikio ya maisha kwa kuwa na utajiri hata havihusiani na...
4 Reactions
8 Replies
397 Views
Majina ya form 4 mfano (John M. Doe), lakini yakabadilishwa na deedpoll yakawa John Doe Michael (Notice M imekuja mwisho na kuwa kwa kirefu). Na ndio Jina lililopo kwenye Cheti Diploma na Kwenye...
1 Reactions
0 Replies
177 Views
Unatafuta mwalimu bora kabisa wa kufundisha mwanao nyumbani? Mtoto ana changamoto ya kuelewa? Ameanza kuchelewa kuongea? Anaogopa darasa kubwa? Anahitaji mazingira ya utulivu kujifunza? 🧠 Ana...
1 Reactions
0 Replies
161 Views
Habarini za siku nyingi, wakuu 1.Leo, ninaomba mnipe mawazo yenu, hivi nikienda kusomea ukalimani wa lugha ya kichina uhakika wa kupata kazi je upo? 2.chuo kipi kwa hapo daslam wanachofundisha...
2 Reactions
4 Replies
304 Views
Mdogo wangu alikuwa kapata chuo Kozi ya Udaktari wa Binadamu (MD)Katika chuo cha Mwanza university. Tukawa tunasubiri dogo apate mkopo ndio tumkamilishie usajili. Dogo bana si akapangiwa mkopo...
3 Reactions
21 Replies
850 Views
Hivi form six leaver asipoenda jeshini impact yake ni nini kwa TCU na HELSB and future academic carrier?
2 Reactions
54 Replies
10K Views
Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kushirikiana na Kampuni ya ALAF Limited, inapenda kutangaza ufadhili wa ada kwa wanafunzi watatu (3) waliochaguliwa...
0 Reactions
1 Replies
226 Views
Habari wanaJF Naomba mwenye kuelewa kuhusu NTA LEVEL 3, au NTA LEVEL 2 na NTA LEVEL 1 inapatikanaje? maana nimeona baadhi ya vyuo unaruhusiwa kuomba kusoma certificate ukiwa na kigezo cha Pass...
3 Reactions
17 Replies
6K Views
Anonymous
Kama tulivyojadiliana maandamano ya kupinga udhembe na kukosekana uwajibika miongoni ya walimu wetu na viongozi wa chuo pia yatafanyika 18 December 2025 kama tulivyokubaliana. Kero kwa miaka na...
1 Reactions
2 Replies
328 Views
Kama habari isemavyo hapo juu naomba msaada aliyena kitabu hicho pdf anisaidie.nitashukuru sana kwa msaada
0 Reactions
1 Replies
193 Views
Wakubwa shikamooni wadogo zangu habari zenu... Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni mtumishi wa umma kada ya ualimu nimejiendeleza kielimu kwa sasa nahitaji kujiunga na masomo ngazi ya...
3 Reactions
29 Replies
8K Views
Pole kwetu wote kwa msiba mzito uliolipata Taifa letu mwaka huu, mwenyezi Mungu awarehemu ndugu zetu waliotangulia mbele za haki, Amina 🙏. Enyi viongozi, muwe na hekima, madaraka ni ya kupita tuu...
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Back
Top Bottom