PC na QT Special Thread

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,743
25,535
Habari zenu wakuu,

Hii ni special thread kwa wale wanaorudia mitihani ya CSEE au ACSEE yaani Watahaniwa binafsi waliowahi kufanya mtihan wa Necta na wa Maarifa Qt watupe mrejesho yaani

1.Mbinu uliyotumia kufaulu.

2.Jinsi mfumo wa division ulivyo yaan A inaanzia ngap B,C,D na kadhalika.

3.Mtihani unavyotungwa.

Asanten sana
 
QT ni kwa masomo ya form 1&2 (kwa mwaka 1) pekeee ili kuwa na sifa ya kufanya paper ya form 4
PC ni kwa reseaters na waliofaulu QT
Madaraja ya ufaulu yapoje mwaka huu?
yaan
A inaanzia maks ngap
B nayo inaanzia ngap?
C je?
D je?
F nayo?
 
F 0-29
D 30-44
C 45-64
B 65-74
A 75-100
Hio ni both, PC and SC.

Ila kama ni mvivu wa kusoma usiguse moto wa PC. Siisahau mwaka jana (2016), nilikuwa PC. Nilipiga bonge la msuuli. Yaani ni msuli wa div one. Matokeo yake ikaja div two. Ila namshukuru Mungu.

Piga msuuli, kisha msuuli. Ukilegeza tu utaambulia mswaki.

Kisha nakutakia masomo mema!
 
Moto wa PC upoje mkuu
 
Moto wa PC upoje mkuu
Moto wa PC upoje mkuu
Moto wa PC upoje mkuu
PC ni mtu anayefanya mtihani wa CSEE, ambapo wengi wao hutumia mwaka mmoja katika kusoma syllubus ya miaka minne. Sasa moto unaanzia hapo.

Kiuhalisia yule mwanafunzi wa kidato cha nne aliye-cover ipasavyo sylubus za kidato cha kwanza hadi cha tatu, bado hana muda wa ku-relax, katika kumalizia sylubus ya kidato cha nne, na marudio ya nyuma.

Sembuse yule PC anayesoma mwaka mmoja mambo ya miaka minne?
Hapo ni lazima itumike nguvu ya ziada, ili kiumbe hiki kifanikiwe. Hakika moto unaanzia hapo.
 
Preshaaaaa
 
F 0-29
D 30-44
C 45-64
B 65-74
A 75-100
Hio ni both, PC and SC.

Ila kama ni mvivu wa kusoma usiguse moto wa PC. Siisahau mwaka jana (2016), nilikuwa PC. Nilipiga bonge la msuuli. Yaani ni msuli wa div one. Matokeo yake ikaja div two. Ila namshukuru Mungu.

Piga msuuli, kisha msuuli. Ukilegeza tu utaambulia mswaki.

Kisha nakutakia masomo mema!
Ulirudia masomo mangap
 
Garama zake zipo vp kwa PC
Kwenye shule za serikali na binafisi (net cost)?
kwa mwaka jana ilinigharimu sh.231,000. Hio ni pamoja na elfu 30 ambayo ni malipo ya maabara endapo unafanya masomo ya sayansi.
N.B. Kumbuka hio ni ada ya mtihani ya kituo + necta.

N.B. Kama hufanyi somo la real practical ada itakuwa ni 231,000-30,000.

N.B. Ada inaweza kubadilika kila mwaka, pia na kituo husika. Hivyo hio ni ada niliyolipia mwaka jana.
 
Back
Top Bottom