Mbinu za kusoma advance na kupata ufaulu mzuri

Mbinu za kusoma advance na kupata ufaulu mzuri

qca ceo

Member
Joined
May 27, 2025
Posts
6
Reaction score
13
Jaman brothers naenda kidato cha tano tahasusi ya PMC(Physics, Mathematics, Computer). Natamani kupata division 1.3. Naombeni ushauri wenu na technique za kusoma
 
Soma uelewe mambo ya point tatu hayataweza kutatua matatizo huku mtaani
 
Kwa kuwa unaenda Mzumbe, bas 1 ya 3 umeshapata, ikiwa utakua na nila, ari, uthubutu, dhana na utayari.

Kila la kheri kwako Dogo.
Msalimie Sir Kihongosi. Lol
 
Back
Top Bottom