Kuna mtu amechaguliwa kusoma muhimbili na combination ya CBG?

damashizo

Member
Jan 20, 2011
61
15
Ngugu wanajamii forum naomba kuuliza kama kunamtu amechaguliwa muhimbili kusomea doctor of medicine na cbg, nauliza kwasababu niliomba kama first choice hawaja nichagua bali wamenipangia nursing. Nafikiria nikifika niombe kubadilishiwa jee itawezekana?
 
Cbg muhimbil hawachaguliw kwa MD,mayb jaribu bugando.
 
kusoma MD lazima uwe umefanya pcb, not otherwise. inamaana hukuwahi kufatilia hvyo vigezo mpaka ukaomba medicine kama chaguo la kwanza?
 
doh madogo mbona mnakuwa wkuung unga mambo?Uliingia JF ili ufuatilie jukwaa gani au kuchangia jukwaa gani?
Maana hapa tulitoa somo kwenu wote ili muweze kufanya machaguo sahihi vyouni kulingana na combination zenu.
 
Marafiki zangu wawili wali join muhimbili mid 1980s mmoja ni phamacist na mwingine ni dentist
 
Hauwezi pata medicine kama haujafanya Physics. Kwa CBG labda Sua veternary Medicine, IMTU md, bugando au Udom. Phamacy ipo fresh. Tatizo uvivu wa kusoma vitabu vya tcu.
 
Ngugu wanajamii forum naomba kuuliza kama kunamtu amechaguliwa muhimbili kusomea doctor of medicine na cbg, nauliza kwasababu niliomba kama first choice hawaja nichagua bali wamenipangia nursing. Nafikiria nikifika niombe kubadilishiwa jee itawezekana?
soma BS nursing ni nzuri.MD MUCHS hawatakukubali kamwe.
 
Acheni kumlaumu mshkaji.Hiki kigezo cha muhimbili kwamba MD isomwe na form 6 aliyefaulu(moja kwa moja) masomo ya PCB,hakina maana kabisa.Mtu wa CBG anaweza kabisa kusoma MD kwani Chemistry&Biology ndiyo msingi hasa wa MDna Physics ni nyongeza tu na hata ya form 4 inatosha.Ningeelewa kwa PCM manake huyu hakufanya Biology form 5&6,hivyo hana msingi imara wa kumuwezesha kumudu MD.
Dogo usikate tamaa.Jaribu kwenda kuwaomba kubadilisha,kama umefaulu vizuri lakini.Namaanisha kama una div one au 2 ya point 10.Kuna watu kama wewe anaweza kuwa kachaguliwa MD lakini anataka Nursing au Pharmacy,hivyo ikawa nafasi nzuri kwako kum replace.
all the best
 
Acheni kumlaumu mshkaji.Hiki kigezo cha muhimbili kwamba MD isomwe na form 6 aliyefaulu(moja kwa moja) masomo ya PCB,hakina maana kabisa.Mtu wa CBG anaweza kabisa kusoma MD kwani Chemistry&Biology ndiyo msingi hasa wa MDna Physics ni nyongeza tu na hata ya form 4 inatosha.Ningeelewa kwa PCM manake huyu hakufanya Biology form 5&6,hivyo hana msingi imara wa kumuwezesha kumudu MD.Dogo usikate tamaa.Jaribu kwenda kuwaomba kubadilisha,kama umefaulu vizuri lakini.Namaanisha kama una div one au 2 ya point 10.Kuna watu kama wewe anaweza kuwa kachaguliwa MD lakini anataka Nursing au Pharmacy,hivyo ikawa nafasi nzuri kwako kum replace.all the best
ndo hivyo mkuu ulichokisema ni cha kweli na ni jambo la msingi ambalo vyuo inabid walifikirie...Coz seriously vyuo vingi sio tu vya bongo hata kenya uganda, south africa na nchi nyingine nyingi watu waliosoma physics wanakipaummbele kwenye MD, mfano mtu kasoma PCM, na mwingine CBG Na wamefaulu almost kwenye the same grade, wa PCM ana chance kubwa ya kuchaguliwa
 
<span style="font-family: comic sans ms">Acheni kumlaumu mshkaji.Hiki kigezo cha muhimbili kwamba MD isomwe na form 6 aliyefaulu(moja kwa moja) masomo ya PCB,hakina maana kabisa.Mtu wa CBG anaweza kabisa kusoma MD kwani Chemistry&amp;Biology ndiyo msingi hasa wa MDna Physics ni nyongeza tu na hata ya form 4 inatosha.Ningeelewa kwa PCM manake huyu hakufanya Biology form 5&amp;6,hivyo hana msingi imara wa kumuwezesha kumudu MD.<br />
Dogo usikate tamaa.Jaribu kwenda kuwaomba kubadilisha,kama umefaulu vizuri lakini.Namaanisha kama una div one au 2 ya point 10.Kuna watu kama wewe anaweza kuwa kachaguliwa MD lakini anataka Nursing au Pharmacy,hivyo ikawa nafasi nzuri kwako kum replace.
all the best
hata ukichaguliwa pharmacy ni ngumu kuingia MD seuse CBG?is it possible kusoma MD in UK iwapo umesoma CBG,does it mean kila kinachofanywa kenya na Uganda na sisi tuige?mwisho wa siku tunatengeneza madaktari feki.kama uwezo umeonekana ni wa kusoma nursing acha asome hiyo hiyo asije akadisco kwa kunga'nga'nia M.D.
 
i know several people ambao wamesoma cbg wameshagraduate MD. labda kama wamebadili vigezo, ila nadhani ni minimum credit zipatikane kwenye two subjects in one seating. so hapo chemistry na bios will suffice.
 
Ngugu wanajamii forum naomba kuuliza kama kunamtu amechaguliwa muhimbili kusomea doctor of medicine na cbg, nauliza kwasababu niliomba kama first choice hawaja nichagua bali wamenipangia nursing. Nafikiria nikifika niombe kubadilishiwa jee itawezekana?
Hayo ndiyo matokeo ya kujifanya mjanja na kukacha Physics
 
hata ukichaguliwa pharmacy ni ngumu kuingia MD seuse CBG?is it possible kusoma MD in UK iwapo umesoma CBG,does it mean kila kinachofanywa kenya na Uganda na sisi tuige?mwisho wa siku tunatengeneza madaktari feki.kama uwezo umeonekana ni wa kusoma nursing acha asome hiyo hiyo asije akadisco kwa kunga'nga'nia M.D.

Umenijibu miye au?Naona majibu yako hayafanani na nilichochangia.either hukunielewa au umekurupuka.Sikusema tuwaige wakenya na uganda,tena hata aliyesema hivyo hukumuelewa.
Point ni kwamba si lazima kufanya physics a'level ili uweze kumudu MD muhimbili au wherever.Msingi wa MD ni Biology na Chemistry.Physics ni nyongeza tu na hata mtu wa CBG anaweza akaimudu vizuri tu physics ya medical school.
Nadhani umenielewa sasa
 
Tupe point zako kwanza ili tukushauri mdogo wetu, chemistry... bio....geo... then ntakushauri
 
Back
Top Bottom