Second applicants wa tcu inamaana wametoswa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Second applicants wa tcu inamaana wametoswa?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Chief Nanga, Sep 2, 2011.

1. C

Chief Nanga Member

#1
Sep 2, 2011
Joined: Aug 10, 2011
Messages: 42
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Wakuu habari zenyu?

Mimi ni miongoni mwa wale applicants wa 2nd round,nimejaribu kucheki kwenye orodha A na B za matokeo waliyotoa bila kuliona jina langu na si mimi tu kwani kuna washkaji zangu kama wanne hivi wote hatumo.

Ina maana hii second application ilikua zuga ya hawa jamaa wa tcu au kuna wenzetu humu JF wamepata kupitia second application?Naomba mnijuze wakuu kama mpango mzima ndo umekwisha hivyo kama wamechanganya wote 1st na 2nd kwa pamoja.

nawasilisha.

2. Baba Collin

Baba Collin JF-Expert Member

#2
Sep 2, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 458
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Napita kwanza nitarudi bdae kidogo ngoja wakujuze.inawezekana mwaka huu tcu na heslb wanatoa movie ya karne.

3. U

Ulimakafu JF-Expert Member

#3
Sep 2, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 18,005
Likes Received: 737
Trophy Points: 280
Nami nitarejea baadae,kweli wadogo zetu mnahangaika.Zamani ukiona jina tu kwenye gazeti mambo yameisha.

4. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#4
Sep 2, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,368
Trophy Points: 280
Mzazi unakumbuka kuwa nilikuomba uniangalizie?

5. Baba Collin

Baba Collin JF-Expert Member

#5
Sep 2, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 458
Likes Received: 0
Trophy Points: 33

mkuu ucjal nipo mitamboni we nikumbushe tu nikuangalizie hata sasa hv majina yote ninayo hapa.

6. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#6
Sep 2, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,368
Trophy Points: 280
Asante sana Nitakutumia PM.

7. Baba Collin

Baba Collin JF-Expert Member

#7
Sep 2, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 458
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Mkuu umenisoma nimesha kuPM

8. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#8
Sep 2, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,368
Trophy Points: 280
Yes, nimeshaipata. Nashukuru sana. Duh! Nimefurah now nina uhakika. Thanx a'lot

9. Baba Collin

Baba Collin JF-Expert Member

#9
Sep 2, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 458
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
2nd applicants matokeo yao watayapublish bt hawatakua na mikopo kwani tayari 79.5bil ambazo ndo kiasi kilichokua kimepangwa kwa undergraduate 2011 zimetumika kuwapa mikopo wale 23elfu tu wa 1st appl.

Hivyo kuweni na subira vyuo mtapata kama mnasifa ila mikopo ni probability.

10. Perry

Perry JF-Expert Member

#10
Sep 2, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280

we ba colln,ebu ka unajua wasave hawa madogo walokosa mikopo na wana vigezo wafanyaje,maana weng wao wanaelekea kukata tamaa kwa kweli.

11. Baba Collin

Baba Collin JF-Expert Member

#11
Sep 2, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 458
Likes Received: 0
Trophy Points: 33

Senetor yaan to be honest mi pia imenisikitisha sana kuona watu wanasifa then wanakosa mikopo ukizingatia maisha kwa sasa niyatabu sana.

Wakuu nafikiri hawakuumiza vichwa katika maamuz waliyo yafanya na italeta mkanganyiko.

Ushauri wangu ni kwamba tuvute subira mpaka j3 au j4 tunaweza tukaja na mawazo mengine ya kuwashauri wafanye nini.kwan kwa sasa hata ofisi zimefungwa.

Poleni sana watanganyika wenzangu.

12. Perry

Perry JF-Expert Member

#12
Sep 3, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280

tatzo hawa madogo nao wana haraka sana..hawana subira kabisa.

13. d

dy/dx JF-Expert Member

#13
Sep 3, 2011
Joined: Jul 26, 2011
Messages: 622
Likes Received: 17
Trophy Points: 35

Thanx sana mkuu kwa kuendelea kutupa moyo vijana,mimi naendelea kusubiri hadi hiyo j4 ili niwape moyo masela wangu waliokosa. Mungu akupe nguvu uendelee kutujuza kilichojiri.

14. d

dy/dx JF-Expert Member

#14
Sep 3, 2011
Joined: Jul 26, 2011
Messages: 622
Likes Received: 17
Trophy Points: 35

Mkuu Senetor ningeomba unijuze hapo Udsm mnafungua lini chuo?

15. Perry

Perry JF-Expert Member

#15
Sep 3, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280

tar 10/oct,bt 1st yr itakua ni tar 03 ka skosei.

16. d

dy/dx JF-Expert Member

#16
Sep 3, 2011
Joined: Jul 26, 2011
Messages: 622
Likes Received: 17
Trophy Points: 35

Thanx nafikiri itakuwa hiyo tarehe 3 kwa sisi 1st year.

17. J

Juma. W Senior Member

#17
Sep 3, 2011
Joined: Mar 28, 2011
Messages: 131
Likes Received: 0
Trophy Points: 33

nilipita tcu wakanambie watatoa majina hayo baada ya wiki mbili, endelea kusubiri na tembele tovuti yao mara kwa mara

18. G

GUMADI Member

#18
Sep 4, 2011
Joined: Aug 5, 2011
Messages: 32
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
ok subira ya vuta kheri wahenga walonga

Loading...