chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 900
Sakata lililotikisa sekta ya elimu mkoani kagera mwanzoni mwa mwaka huu limechukua sura nyingine baada ya wafanyakazi 9 kufukuzwa shule. Watu hao wanatuhumiwa kwa ufisadi na kuficha madhambi ya utawawa wa mkuu wa shule aliyekuwepo pamoja na UCHOMAJI MOTO WA MABWENI 2 YA WANAFUNZI. Licha ya takukuru kutoa ushirikiano mbaya wa kuwalinda watuhumiwa Kanisa Katoliki jimbo la Kayanga limewafuta kazi walimu watano akiwemo aliyekuwa Makamu wa shule na wafanyakazi wengine wanne.
HONGERA KANISA KWA KUTOFUMBIA MACHO UOVU
HONGERA KANISA KWA KUTOFUMBIA MACHO UOVU