TCU & HESLB na "Amount of Loan" mbona siwaelewi?

MWAKIGOBE

Member
Nov 1, 2010
65
2
Jjamani hawa TCU wameweka amount of loan, bila mchanganuo, naomba mnisaidie zile pesa walizoweka ni ada pekeyake? au ni pamoja na michango mingine?
nawasilisha, nisaidieni

Wamenipa 2560500 alafu ada na makorokoro huku mucobs ni 2860000 per year so ela ya acumudation & meal inakuaje? Reseach & field nayo vipi? Imejumlishwa humu humu? Huu mwaka kama kwenda chuo ni story.. Na nitajuaje asilimia walizo nipa? Naombeni msaada wana jf nisha changanyika...

Heri ww hata umepata hiyo asilimia
mm mwanangu amenyimwa mkopo
ilihali ni single parent (mama)
kwa kweli nimechanganyikiwa
hivi hakuna kukata rufaa huko HESLB

Kushukuru kupo lakini mzaz hu0ni bado ni mtiti kama ndivyo ilivyo? Ntasomaje wakati home wakulima?

Mtoto wa mkulima hajaenda chuo anajua kukaa kwenye computer na kuchangia hoja jamiiforums!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Wamenipa 2560500 alafu ada na makorokoro huku mucobs ni 2860000 per year so ela ya acumudation & meal inakuaje? Reseach & field nayo vipi? Imejumlishwa humu humu? Huu mwaka kama kwenda chuo ni story.. Na nitajuaje asilimia walizo nipa? Naombeni msaada wana jf nisha changanyika...

bord hawatoi interms of percentage?. Sijakuelewa naomba unieleweshe.

Ninavyojua huwa wanatoa kwa percentage, hiz hazihusiki ktk meals &acc znakuwa ktk field na fucult alowance.

We shukuru tu, si wengine tutasubiria mwakan, mana ccm haina pesa kutusomesha. Viva jk. Naona ile kamat yako imekupa mapendekezo murua.

Kujua asilimia uliyopata chukua total fees kwa kozi kwa miaka 3 kutoka kwenye guide book gawanya na hicho kiasi ulichopewa kwa miaka mitatu zidisha kwa 100.Jibu utakalopata ndo asilimia yako ya mkopo.

Wamenipa 2560500 alafu ada na makorokoro huku mucobs ni 2860000 per year so ela ya acumudation & meal inakuaje? Reseach & field nayo vipi? Imejumlishwa humu humu? Huu mwaka kama kwenda chuo ni story.. Na nitajuaje asilimia walizo nipa? Naombeni msaada wana jf nisha changanyika...

Kujua asilimia uliyopata chukua total fees kwa kozi kwa miaka 3 kutoka kwenye guide book gawanya na hicho kiasi ulichopewa kwa miaka mitatu zidisha kwa 100.Jibu utakalopata ndo asilimia yako ya mkopo.

Mzazi kama ni ivyo kunawatu wanakula milioni 3 laki tisa. Mbona inazidi ada field na research alwns cs ada yake ni 1100000 kwa mwaka na ni human resourcs tena ana wazazi tena mambo safi. Vipi hii
Ninavyojua huwa wanatoa kwa percentage, hiz hazihusiki ktk meals &acc znakuwa ktk field na fucult alowance.

Inagoma iyo esabu inakuja 134% dats impocble. means iyo ela ni kwa 3years?
Mi ada ni 1100000 per year.
Kujua asilimia uliyopata chukua total fees kwa kozi kwa miaka 3 kutoka kwenye guide book gawanya na hicho kiasi ulichopewa kwa miaka mitatu zidisha kwa 100.Jibu utakalopata ndo asilimia yako ya mkopo.

Samahan! Naomba mnieleze kuwa wametoa vip? Wakat wetu walikuwa wanatoa interms of percentage. Ilikuwa pesa ya accor na meals hazna viwango, tulipata sawa. Ila kwenye maswala ya field ilikuwa tunapewa kwa category, mf, 100% wanapewa 10000 inapungua had zero. Mwaka huu wametoaje? Samahani nipe bief introduction.

Wana JF,

Yaani ni vichekesho tupu TCU. Kuna mtoto tunatoka naye kijiji kimoja,amechaguliwa kwenda KIU kusoma kozi ambayo hata yeye hakuiomba,mbaya zaidi HAKUPEWA MKOPO HATA SENTI MOJA LICHA YA KUWA MAMA NA BABA YAKE WOTE NI WAKULIMA WA JEMBE LA MKONO,na hata katika kumpeleka mtoto huyo A Level shule ya serikali ilikuwa ni mshikemshike. Usawa nchi hii uko wapi? Bado tuna tatizo kwenye mfumo wetu wa elimu na ugawaji mikopo, TCU kuna tatizo na Bodi ya mikopo ni tatizo kubwa.

Ninaandika hapa mimi mwenyewe nikiwa mwathirika wa loan allocation. Ninafanya Masters katika moja ya vyuo vikuu nchini. Tangu December mwaka jana niliomba pesa ya Research lakini hadi leo haijanifikia. Ilifikia mahali nikaandika barua kwa Makamu Mkuu wa Chuo kulalamikia hili na chuo kikakubali kunikopesha Milioni 1 ili nifanye research kwa makubaliano kuwa pesa ya bodi ikitolewa nikilipe chuo lakini hadi leo hamna kitu

Kiukweli Nachukia kuishi katika nchi hii

Wameandika amount tena ipo complex. Kuna wa2 wamepewa milion 3.9 na wengine mil 2.4 alafu uyo aloandikiwa 3.9 akigawanya hiyo ela iwe kwa mwaka ada na accd inazidi. Ada kwa miaka 3. Pia inazidi. So full dilema.

Back
Top Bottom