Msaada:tofauti kati ya bachelor of science in.. na bachelor or engineering in..

ProBook

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
558
257
jaman brothers and sister naomba mtu yoyote mwenye kuelewa tofauti kati ya hivi vitu viwili anieleweshe maana naona kama vinanichanganiya kidogo na ipi kati ya hizo ni nzuri zaidi..
Asanteni.
 
Search hapa Jf kuna mtu aliuliza swali kama lako na kujibiwa kwa ufasaha zaidi.
Kwa kifupi bachelor of engineering ina base kwenye practical zaidi na theory kidogo while bachelor of science in...........engineering ina base kwenye theory na practical kidogo. Bachelor of Engineering hutolewa katika technical colleges kama DIT,AIT na MIT.
 
jaman brothers and sister naomba mtu yoyote mwenye kuelewa tofauti kati ya hivi vitu viwili anieleweshe maana naona kama vinanichanganiya kidogo na ipi kati ya hizo ni nzuri zaidi..
Asanteni.

Bsc in ina deal zaidi na WHY questions ( Theories na designing ) wakati B in eng ina deal zaidi na HOW questions ( How to operate vifaa )
Kuhusu ipi ni bora , hiyo ni subjective issue , kila mtu ana preference yake , ila binafsi kwa maoni yangu ,bsc in zinazingua kibongo bongo sababu inahitaji ufundishaji bora na vifaa vingi ambavyo havitoshelezi katika vyuo vyetu unless uwe una struggle kivyako pembeni
 
Kama unataka kuwa "engineer makaratasi"basi chukua Bachelor of science in...na kama unataka skilled hands,Bachelor of Engineering in...Tofauti imebase kwenye practicals and theories kama NingaR alivyosema hapo juu.
 
bachelor of science ni engineer uchwala au maneno mengi na karatasi ila kazi huwezi
bachelor engineer ni engineer ambaye yupo compitent both theory and practical utachagua mwenyewe
 
Back
Top Bottom