Mwaka 1995 wanachuo walifukuzwa wote Dsa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwaka 1995 wanachuo walifukuzwa wote Dsa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Makupa, Jul 1, 2012.

 1. M

  Makupa JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Nakumbuka mwaka 1995.chuo cha uhasibu wanachuo wote walifukuzwa na hawakurejeshwa tena chuoni .Nimebahatika kukutana na baadhi yao mfano aliyekuja kuwa rais wa Daruso komredi Julius Rugemalira.Wale wanachuo wengine mko wapi ?
   
 2. d

  dada jane JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usinikumbushe hiyo kitu. Ilikuwaga kisiasa zaidi.
   
 3. m

  mdawi Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nimesoma DSA the TIA (kwa sasa) wakati naanza niliowakuta pale walitupa hii stori. je Julius ndie alikuwa anaitwa Freeman?
   
Loading...