Kati ya ELECTRONIC&COMMUNICATION ENGINEERING NA IT IPI NI NZURI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kati ya ELECTRONIC&COMMUNICATION ENGINEERING NA IT IPI NI NZURI?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by dottoz, Apr 28, 2012.

 1. dottoz

  dottoz JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 805
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 80
  Wadau naomben mnixaidie kwa hli
  kati ya hz koz ip ni bora na yenye practical ya ukwel na yenye soko kubwa xana
  shukuran.
   
 2. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,390
  Likes Received: 3,719
  Trophy Points: 280
  Hakuna fomula
   
 3. dottoz

  dottoz JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 805
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 80
  kvp mkuu,naømba uniambie ipi bora zaid maana zote naziweza ila naangalia ipi ina maslah zaid na ip ina umuhmu wake katka Taifa.
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Zote chaka.kasome civil au building economics
   
 5. dottoz

  dottoz JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 805
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 80
  mbona unakatsha tamaa bro,mie nataka kat ya hzo nichukue ipi?
   
 6. The Genius

  The Genius Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zote unaziweza! Kwa uzoefu wako, ipi imekulipa hadi sasa?
   
 7. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  let me help you.......ni hivi
  1.electronics and communication engineering----hivi kozi inahusiana na mawasiliano simu ambazo kazi zake huwa watu wanajaariwa kwenye mitandao na isp company basi........
  2.it au information technology ni pana sana na ajira zake ni kwamba ....zipo kila sehemu kwani ofisi zote za serikalini,watu binafsi lazima kuwe kuna it technician
  3.kwenye mambo ya mitandao kuanzia mabenki it ndo huwa wanashuhulikia mitandao ,,,na it imegawanyika sehemu kuu kumi sasa inategemea ww utaspecilize kwenye nini....na hizi ndo specilization zake

  1.hardware engineering
  2.software developer
  3.programmer
  4.web designer
  5.graphics and designer
  6.database administrator
  7.networking engineering
  8.mobile technology
  9.software engineering
  10.microwave enginee

  sasa ww utachagua unapenda uspecilize kwenye nini
   
 8. dottoz

  dottoz JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 805
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 80
  Thanx sana mkuu,ujue nini kaka mie napenda sana ELECTRONICS&COMMUNICATION ENGINEERING
  sasa sasa katka kaz zake nyng ni zp katka mitandao?
   
 9. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  We si unapenda telecom.eng.Nenda kasome...
   
 10. c

  chisu New Member

  #10
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natumai umepata maelezo ya kutosha kutoka kwa kaka hapo, ila yote ya yote angalia ni wapi ukimaliza yupo mtu wa kukuvuta mkono.
   
Loading...