Nataka diploma kwa distance learning nifanyeje..!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka diploma kwa distance learning nifanyeje..!?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ntilla, Jul 5, 2012.

 1. N

  Ntilla Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Habari wadau mimi nilimaliza A-leval mwaka 1998 na nini Principal Pass moja na Subsidiary Moja..Kwa sasa ninfanya kazi Shirika fulani kubwa hapa Tz na ninahitaji kuongeza ELIMU angalau ya Diploma lkn niko kijijini Biharamulo.. Naomba mnijuze ni chuo kipi cha uhakika na kwa performance hiyo ninaweza pata Admission maana OUT walinizingua nikaachana nao..!?
   
 2. Ericus Kimasha

  Ericus Kimasha Verified User

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 27, 2006
  Messages: 488
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 60

  Ntilla,
  Suura
  Unataka Dip. ya course gani? Nilitaka nikushauri uchukue kutoka Cambridge International College (CIC)-UK. Wanatoa Business Related courses zinazoheshimika.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. N

  Ntilla Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  A-leval nilisoma PGM hii huwa inanipa uhakika wa kusoma chochote ingawa sitaki kuumiza sana kichwa hivyo Human Resources na Administrations nadhani itkua poa hata hivyo ngoja nipite huko CIC
   
 4. Ericus Kimasha

  Ericus Kimasha Verified User

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 27, 2006
  Messages: 488
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 60
  Ntilla,
  Tembelea hapa 2 - Diploma - Cambridge International College
  Na ukiishachagua tuwasiliane...naweza kukupa company iwapo utakuwa ume- opt course ambayo nami pia naipenda
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...