Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Jamani waungwana nawaomba mnifahamishe kuhusu utolewaji wa vyeti vya ardhi university kwa wahitimu tuliomaliza chuo ardhi university kutoka 2007-2010 umefikia wapi? tafadhali kwa yeyote mwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani ninamdogo wangu alichagulwa chuo ambacho hakuomba kkulingana na Tangazo lililo wekwa kwenye Hope page ya TCU (tcu.co.tz: The Leading TCU Site on the Net) nimejaribu kumuombea second round...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Masela nimechaguliwa baf mzumbe kama kuna wenzangu basi tujuane coz nahisi hakuna kichwa kingine ndani ya jamii f.kama tupo tujuane basi!!
0 Reactions
22 Replies
4K Views
1)direct cost inayotakiwa ilipwe ni bei gan? 2)ukiandikiwa no loan,unatakiwa uende na shiling ngap kama kianzio cha tution fees. 3)bei ya msoc ni shilling ngap(namaanisha msoc wa kawaida na sio...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada. Nataka kufanya dissertation yangu ya chuo. Naunganisha sekta nne DONOR - BANK - GUARANTOR - SME Nawaomba mnisaidie title au hata research problem inayowaunganisha wote...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
hebu nisaidien, nili attach kitambulsho changu cha kura kwenye ile form ya loan badala ya kitambulisho cha mdhamini!, ila kwenye list ya waliokosea simo, wht cn i do members!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Moshi Ufundi: Sekondari iliyogeuka kuwa magofu Friday, 24 August 2012 23:48 Kijana akipiga mswaki eneo la shule ya Sekondari ya Ufundi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
hivi jamani ;; in case nikapewa mkopo vitu gana vya msingi nivifanye ili nisihangaike incase nikipewa mkopo?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kwa wale waliochuo au mnaojua cku ya kufungua muhas nisaidieni make boom 4 sure ntabaniwa coz nilikosea kujaza form lao!
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamni nimesikia TCU Wametoa matokeo ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu hatimaye....
1 Reactions
5 Replies
8K Views
Nimepata taarifa kuwa nimechaguliwa duce lakini nikijaribu kutembelea website yao niakikishe haifunguki (www.duce.ac.tz). Je, kuna njia mbadala? Kama ipo nisaidieni jamani!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika kile kinachoonekana kama udhalilishaji wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (hasa Kitivo cha Sheria),Mamlaka ya Vyuo Vikuu Nchini almaarufu kama TCU imewapanga wanafunzi wenye Daraja la pili...
2 Reactions
67 Replies
8K Views
Habari zenu vijana, Bila kupoteza muda,kwa wale ambao wanajaribu kuingia kwenye akaunti(Sio za Bank) zao za TCU kucheki matokeo yao ya chuo,waingize index zao kama kawaida lakini password waweke...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nina shida wa soft copy ya IFRS,INTERNATIONAL FINANCIAL REPORT STANDARD- BOOK
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Wadau, Kama kuna waliojisajili kwa maombi katika chuo cha IFM kwa course ya Banking and Finance naomba tujuzane kama kuna update yoyote. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani is it true kuwa mikopo/grant kwa wanafunzi wa medicine huwa ni 100%. Nauliza hivyo maana private medical schools zina bei kubwa sasa wanatoa hela yote au wana sealing.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nenda kwenye profile yako, then application for 2nd round, ingiza code ya chuo unachotaka, harafu confirm selection, utofauti uliopo kwa new applicant na wale 2nd application ni kwamba pale...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Aliye nazo naomba azipost:A S cry:
0 Reactions
13 Replies
13K Views
jaman mbona list of selected student to join St joseph university dsm kwenye web yao majina ya waliochaguliwa kujiunga na information system na network engineering siyaoni au kwangu peke yangu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
please nipo kijiji kidogo no cafd and phone hqngu haina pdf!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom