Wale wa mzumbe aka chuo makini mbona kimyaaaaaaaaa?????????

REYRO

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
968
244
Masela nimechaguliwa baf mzumbe kama kuna wenzangu basi tujuane coz nahisi hakuna kichwa kingine ndani ya jamii f.kama tupo tujuane basi!!
 
ingekuwa kuna malipo kwa kila thread tunayoanzisha humu, naamini pumba kama hizi zingepungua
 
Masela nimechaguliwa baf mzumbe kama kuna wenzangu basi tujuane coz nahisi hakuna kichwa kingine ndani ya jamii f.kama tupo tujuane basi!!

Accounting and Finance, unajua ww music wake???!??? Kasome semister moja then uje jamvin!!!!!
 
Masela nimechaguliwa baf mzumbe kama kuna wenzangu basi tujuane coz nahisi hakuna kichwa kingine ndani ya jamii f.kama tupo tujuane basi!!

Hivi ninyi ndo wa kwanza kwenda Chuo kikuu Tangia Dunia hii iwepo eti?
 
njoo ila kuwa makini na wanyama hawa....MBEGALO TUKAE, CHRISTINER SHITIMA, KIKULI, THE BOY OMBELA HIMSELF lazima ukae...!!jipangeeeeeeeeeeeee!:israel:
 
Hah hah hah! Hapo hujamalizia na faculty nzima ya law. Yaani wanakomeshaga wanafunzi wa BAF. Na wakija kusimamia mitihani yao utasema wamekuja vitani!
Hao walimu sio kwamba wanafelisha makusudi, ukifeli ujue bahati mbaya. Ukweli ni kwamba masomo yao (Economics na Mathematics) huwa ni magumu kwa wengi. Inahitaji umakini na uwe serious katika masomo. Kufaulu kutakuwa ni suala la kawaida. Ila ukiendekeza anasa za pombe na ngono pamoja na usharobaro, anza kufikiria chuo utakachoenda baada ya kudisco.
Ukiishi maisha ya anasa Mzumbe, utakuwa unafanya supplimentary exams mara kwa mara na madhara yake utayaona ukimaliza chuo.
 
me pia mzumbe i heard msul wa pale c wa kitoto n i lyk dat thing cz hatuend chuo kucheza ni kusoma ataecheza ni uamuz wake hata mimi nikicheza bac ntakuwa nishatafuta chuo kingine cha kukimbilia cz nimejitakia
 
thanx kwakuni encrg luv uuuuu!
 
Back
Top Bottom