wapigie tcu watakupa....
Oya hiyo link hapo ya undergraduate admissions 2012/2013 ina nini? au ndo wametoa!??????
:embarrassed: :smash:
:embarrassed: :smash:
Daaaah thanx,nimejiona hapo kati,vp kuhusu kupata joining instrustn na adimission latter?watatutumia kwenye anuani za posta au tunazidownload kwenye Ardhi University
Dnt visit jf only, joining instructions ipo kwenye web ya ardhi toka juzi...