kwa wanaomba omba second round Tcu na walikua wamechaguliwa vyuo ambavyo hawakuomba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa wanaomba omba second round Tcu na walikua wamechaguliwa vyuo ambavyo hawakuomba

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by jaridotcom2, Aug 25, 2012.

 1. j

  jaridotcom2 Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Jamani ninamdogo wangu alichagulwa chuo ambacho hakuomba kkulingana na Tangazo lililo wekwa kwenye Hope page ya TCU (tcu.co.tz: The Leading TCU Site on the Net) nimejaribu kumuombea second round lakini napata sms hiii.."DEAR APPLICANT!!,APPLICATION AND ADMISSION PROCESS IS DONE ONLY ONCE PER EACH STUDENT,YOU HAVE ADMITTED ALREADY, BE PATIENT AND SOON YOU WILL KNOW WHERE YOU HAVE SELECTED,THANK YOU!!. Je hiii sms inamaanisha nini?
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Ni lugha ndo imekuchanganya au huelewi nin hapo?
   
 3. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #3
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanasema hvi uteuzi wa vyuo unafanyika mara moja tu na ww umefanya tayari, kuwa mvumilivu muda c mrefu utajua umechaguliwa wapi. Thanx yu.
   
 4. j

  jaridotcom2 Member

  #4
  Aug 25, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Elewa ujumbe vizuri TCU wamesema aombe kama alichaguliwa chuo ambacho hakukiomba mwanzo ila nikijaribu kumuombea ndio wanatoa hiyo sms ambayo inamaanisha kuwa alishakua adimitted swali la msingi ni kwamba wanamaanisha kawa adimitted chuo kingine tofauti na walichomchagua ambacho hakikuwa chaguo lake? au TCU wanamaanisha nini kuwaambia watu waliochaguliwa vyuo ambavyo hawakuomba waombe upya khari ukiomba wanasema umeshachaguliwa?
  so hapa simaanishi kuwa sikuelew lugha bali ni utata wanaotupa hawa TCU
   
 5. M

  Mgimiloko Member

  #5
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dizaini km amechaguliwa degree program na chuo nje ya zile selection.....inabidi kwanza alog in,aingie my plofile ataona

  draft mbili 1 ikimtaka acomfirm chuo na degree coz au aikatae na aingie ktk 2nd round!!!!
   
Loading...