Tcu!!! Tcu!!! Mbona hii ajabu kwa st joseph university dsm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tcu!!! Tcu!!! Mbona hii ajabu kwa st joseph university dsm

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by harty kaminus, Aug 24, 2012.

 1. h

  harty kaminus Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaman mbona list of selected student to join St joseph university dsm kwenye web yao majina ya waliochaguliwa
  kujiunga na information system na network engineering siyaoni au kwangu peke yangu. please naombeni msaada wenu
   
 2. JOH MCHESHI

  JOH MCHESHI Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Majina yote yamebandikwa kwenye notc board so tafuta mtu aliye huko akuchekie.coz yale majina ni machache tu
   
Loading...