Wanaoshindwa ku log in tcu wacheki hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaoshindwa ku log in tcu wacheki hapa!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by BAOSITA, Aug 24, 2012.

 1. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari zenu vijana,
  Bila kupoteza muda,kwa wale ambao wanajaribu kuingia kwenye akaunti(Sio za Bank) zao za TCU kucheki matokeo yao ya chuo,waingize index zao kama kawaida lakini password waweke hii 123456 itafungua.Imetolewa na TCU leo kwa wale ambao walienda kuulizia tatizo la akaunti zao kutofunguka.
   
 2. Charles Elias

  Charles Elias Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Poa ahsante!
   
Loading...