Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

HakiElimu nimeona wameanzisha kampeni ya kuboresha elimu ya awali, Binafsi naona hili ni suala la kizalendo sana hasa ukiangalia elimu yetu inavyokwenda mrama, mpaka inafikia watu wanamaliza std...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Mri
Jaman post za mri zitatoka lini?naomba mnisaidie
0 Reactions
3 Replies
840 Views
Naomba kujua kile kitabu cha public service recruitment ntakipataje? Kile kinachoelezea kaz, na mambo ya interview. mwenye idea pls
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Hivi hili neno linaeleweka kweli kwenye baadhi ya TOVUTI za wizara kwenye hii serkali yetu? Nimejaribu kufuatilia kwa muda mrefu kwenye hii sehemu walipoweka eti ni CURRENT NEWS unakuta vitu...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Jaman naomba munisaidie mimi nimechaguliwa udom bachelor of education in special needs nimepatiwa mkopo sh mil 3 laki 2 alfu 27 na mia 5. Nimeshalipa direct cost lakin nimeshindwa kulipa kiwango...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kati ya civil &mining Eng. Ni ipi ina good future kwa hapa tanzania in terms of emplymnt opprtnts&income?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wale wa sua mchanganuo wa ada umeshatoka tayari, labda niwasaidie kwa wale wa agricultural eng, meal n acmdatin 1,980,000. Field work 620,000. Special facult 175,000. Buk n statinary...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jamani tuwekane sawa wadau wa elimu,ni kweli kwamba form six wameongezewa muda,hadi mwez wa tano?na nini sababu?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Pazia la mwaka wa masomo wa 2012/2013 vyuoni linafunguliwa kesho ambapo UDSM inapokea wanafunzi wa mwaka wa kwanza. Kesho na muhula mzima wa kwanza patajaa vituko na ushamba wa kila aina. Ni mambo...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
ndugu zangu wale PC'S vyet vya form 6 mwaka 2011 vimerudi baraza la mitihani na ili kupat wanadai 20,000 yani kuna usumbufu ndugu zangu, so ushari wangu fuatilieni mapema mim mwenyewe ni mhusika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ninawaomba mtoe kipaumbele kwa first year students ktk kuwapatia hosteli za ndani ya chuo hasa waliofika mapema kuanzia jana.Wengi wao ni wageni wa mji..!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba mtoe kipaumbele kwa wanafuzi wa first year ktk utoaji wa hosteli za ndani hususani wale waliowahi kuanzia jana kwani wengi wao ni wageni wa mji..!
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana janvi mimi naomba kukutana na 1st yr wa ITA maana nataka msaada kutoka kwao.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jaman me nilipangiwa sua agrbusne ila jna halpo je nfanye ktu gan au nipoteze haki yangu.
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Nimetembelea tovuti ya NECTA (The National Examinations Council of Tanzania) na kukutana na ratiba ya mtihani wa kidato cha sita mwakani (angalia link hapo chini) Poleni sana vijana najua mlikuwa...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Dear October be better than September, less worries and more happiness. Please dear October, I just want what's best for my life, please be good to me dear October, please don't disappoint me...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa ambao tayali msharipoti vyuoni hebu tuambieni mliyokutana nayo huko, sema chuo ulichopo, matatizo uloyakuta, furaha na mazuri uloyapata huku. ili wote tujadili pamoja wote hapa na tujue kuna...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Unapaswa kufika bodin hapo msasan na kuingia chumba namba 24 utaambiwa tatizo lakn utaambiwa inabd uende payment department( no.B1) atakupatia peyment sleep kama utakua haujawai kuchukua na ku2mia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hi all, Niko na swali kwa wanafunzi wanaosoma medicine hapo Muhimibli school of medicine. Is all your instruction in Engish or Kiswahili? kwenye ward teaching is it more flexible switching...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Ndugu zangu wana JF, mimi ni mhitimu wa chuo kimoja hapa nchini,nimesomea mambo ya ujasiriamali haswa hivyo inabidi nijiajiri mara baada ya kuhitimu na muda wenyewe ndiyo huu. Ubunifu ninao tena...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…