Vyeti vya private candidate vimerudi baraza:andaa 20,000

ruston8919

Member
Mar 31, 2012
68
14
ndugu zangu wale PC'S vyet vya form 6 mwaka 2011 vimerudi baraza la mitihani na ili kupat wanadai 20,000 yani kuna usumbufu ndugu zangu, so ushari wangu fuatilieni mapema mim mwenyewe ni mhusika na kesho ndo naenda baraza kujaribu.
 
Back
Top Bottom