Kwa mwaka wa kwanza 2012/2013

oxlade

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
601
94
Kwa ambao tayali msharipoti vyuoni hebu tuambieni mliyokutana nayo huko, sema chuo ulichopo, matatizo uloyakuta, furaha na mazuri uloyapata huku.
ili wote tujadili pamoja wote hapa na tujue kuna nini huko
 
UDSM
watu walikua wengi na michakato ilikua mingi ila kilichonifurahisha ni baadhi ya jamaa wenyeji wenyeji walipokua wakiwaelekeza "chaka" mwaka wa kwanza maeneo fulani fulani, mfano mtu anataka kwenda admin block la coet lakin unakuta kaelekezwa CONAS. kiukwel baadhi ya wa2 walishnda wanazungushwa zungushwa 2.
 
haya na wale walionza kureport sehemu kama sua,ardhi mtujuze zaidi waungwana.....
 
haya na wale walionza kureport sehemu kama sua,ardhi mtujuze zaidi waungwana.....

Ardhi, nimefika nikapiga mastori na masela sana ... Kisha nikaenda ofisini kuchukua adm' no. Na kitabu cha by-laws!! Niliondoka mapema sikuona kama kuna issue ya maana
 
Back
Top Bottom