Wale mliochaguliwa chuo cha kodi (ITA )dar tutafutane | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wale mliochaguliwa chuo cha kodi (ITA )dar tutafutane

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MICHO THOMAS BK, Sep 30, 2012.

 1. M

  MICHO THOMAS BK Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana janvi mimi naomba kukutana na 1st yr wa ITA maana nataka msaada kutoka kwao.
   
 2. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,467
  Likes Received: 1,348
  Trophy Points: 280
  unataka msaada gani funguka ,maaana si wote ni wanafunzi wengine tu self interest with ita tunaweza kukusaidia
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,194
  Likes Received: 1,588
  Trophy Points: 280
  Hivi ungekuwa umechaguliwa havard university si ungeanzisha blogu ya alumni kabla hujajiunga? Unakaribisha utapeli, kuku mgeni hakosi kamba mguuni lakini hawiki wala kuulizia njia kila saa. Nenda chuo utayajulia huko huko
   
 4. M

  MICHO THOMAS BK Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pa1 xana!
   
 5. bibliography

  bibliography JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 568
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  hii sio facebook(pa1 xana) ndio nn?
   
Loading...