Tuchangie maoni juu ya uboreshaji wa Elimu ya Awali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuchangie maoni juu ya uboreshaji wa Elimu ya Awali

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Bihawana, Oct 2, 2012.

 1. B

  Bihawana Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 25, 2009
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  HakiElimu nimeona wameanzisha kampeni ya kuboresha elimu ya awali, Binafsi naona hili ni suala la kizalendo sana hasa ukiangalia elimu yetu inavyokwenda mrama, mpaka inafikia watu wanamaliza std vii hawajui kusoma na kuandika.

  Tuchangieni mawazo jamani kwenye mitandao yao, nimeiona hii page ya facebook nikaona niichapishe, link hii hapa chini https://www.facebook.com/hakielimu?ref=ts&fref=ts. [​IMG]
   
Loading...