Wale wa sua mambo tayari. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wale wa sua mambo tayari.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ze Blessed, Oct 1, 2012.

 1. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wale wa sua mchanganuo wa ada umeshatoka tayari, labda niwasaidie kwa wale wa agricultural eng,
  meal n acmdatin 1,980,000.
  Field work 620,000.
  Special facult 175,000.
  Buk n statinary 200,000.
  Hapo kuna ela ya ada ambayo bod wamekulpia mf. Mm wamenilpia 907,800, so iliyobaki kwenye ada ni 355,200 ndo natakiwa nilipe ambapo ni asilmia 71.8.
  Note huo mgawanyo ni kwa kila mwanachuo ila tunatofautiana kwenye field na special facult.
  Nawasilisha
   
 2. Henry Temu

  Henry Temu Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15
  Hata cjakuelewa
   
 3. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mkuu Henry Temu umeona wap dakta akaelewa mambo ya sheria.....mkuu Ze Blessed thanks 4 info!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huo mgawanyo ambao nimeuweka hapo, ni kwa kesi ya agricultural eng kama mfano, cjajua kwa facult nyngne lakini meal and acomodatin, book and stationary ni sawa kwa kila mwanachuo, so kama unajua unaenda field kwa siku ngapi utaweza jua boad wameigawanya vp hela yako.
   
 5. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poa poa ndugu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  wapi source???
   
 7. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #7
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka source ni mimi mwenyewe, ndo maana nikatoa mfano kuhusu mimi.
   
 8. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mdogo wangu karibu SUA lakini natumai hapo kwenye nyekundu hukukusudia!
   
 9. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #9
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poa poa ndugu usiwaze, nashukuru kwa kuligundua hilo.
   
 10. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sawa ze blessed nimeona hiyo full allocation kwenye web yao,thanks!
   
 11. T

  Thebony Member

  #11
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kak vp agrbusnes
   
 12. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #12
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poa poa mkuu usijali.
   
 13. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #13
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka kuhusu agri bsns cjajua vzr ila ninachofahamu field mnaanza mwaka wa pili, kwa maelezo zaidi tembelea web yao sua.
   
 14. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #14
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Hivi SUA iko wapi na wanafundisha nini vile?
   
 15. T

  Thebony Member

  #15
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman kuna watu walipangiwa agrbusnes ila majna hayakuonekana huko vp kuhusu hawa na mikopo yao imetupiwa huko je itakuwaje?
   
 16. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #16
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka eeh, kuhusu hlo suala cjafahamu kwa sasa ila mwanzoni ilikuwa hv, ilionekana agr b. ilchukua idadai kubwa ya wanafunzi ndipo chuo kikaamua kurudisha baadh ya majina tcu kwa ajili ya uteuz mpya, na kuna jamaa angu m1 alipangiwa hyo course lakini kwa sasa kapangwa civil mist. So cjajua kwa upande wako, may be tafuta m2 alyeko karibu afuatilie jina lako sua au uende tcu kwenyewe ukawaulize, yan kuhusu chuo lickupe shda kabisa nafasi yako ipo.
  Kila la heri
   
 17. T

  Thebony Member

  #17
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  so kma mi stak couse nyngne zaidi ya hyo agrbus? Na chuo kitajaaje?kiukwel kak mi mpka mahakamani nadai haki yangu tu.siko teyar kwa koz nyngne mi ni wa agrbusne tu.nipe ushaur brother
   
 18. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #18
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo kikubwa cha kufanya, fuatilia sua kwanza kama jina lako waliltoa tena kwa mara ya pili, na ikishindikana wafate tcu wenyewe ongea nao watakuelewa, kwa kufanya hvyo utafanikisha kaka.
   
 19. T

  Thebony Member

  #19
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poa kak kw sabæbu nimefka dar kesho nitakwenda tcu nikawaskilizie ila haki yangu hata kama sna pesa haito potea nitakwenda vyombo vya habr rushwa njenje hii.
   
 20. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #20
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  all the best
   
Loading...