Changamoto ninazopata baada ya kuhitimu chuo kikuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Changamoto ninazopata baada ya kuhitimu chuo kikuu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Damson88, Sep 30, 2012.

 1. Damson88

  Damson88 JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 263
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ndugu zangu wana JF, mimi ni mhitimu wa chuo kimoja hapa nchini,nimesomea mambo ya ujasiriamali haswa hivyo inabidi nijiajiri mara baada ya kuhitimu na muda wenyewe ndiyo huu. Ubunifu ninao tena mkubwa sana bila kusahau kuwajari wateja au wanaohitaji huduma zangu. Mfano-na design website, fundi computer n.k. Sasa swali linakuja hivi:- nikiajiriwa(kama ajira zipo) ntafanya kitengo gani? maana mimi ni mtu anayepaswa kujiajiri. Je, mtaji wa kuanzisha biashara ntaupataje? Au niende jeshini TPDF? naomba mwongozo na mawazo yenu nayaheshimu sana. Ahsante! :shut-mouth:
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona umeisha jibiwa kwenye Jukwaa la Biashara
   
 3. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,029
  Likes Received: 3,052
  Trophy Points: 280
  Ndo madhara ya sera mbovu za ajira ...mnawafundisha vijana ujasiriamali na wakati hamna mipango ya kuwasaidia kuwa wajasiriamali,serikali dhaifu.
   
 4. John locke

  John locke JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 576
  Likes Received: 576
  Trophy Points: 180
  kanunue kazi ingawa elimu umekopa
   
 5. Damson88

  Damson88 JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 263
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ndiyo ushauri nimeupata ,sema tu najaribu kuchambua na kukusanya hoja mbalimbali mkuu
   
 6. Damson88

  Damson88 JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 263
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kazi kweli kweli
   
 7. Damson88

  Damson88 JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 263
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Baada ya kulitambua hili 2najisaidiaje? Najua lipo fungu kwa ajili ya wajasiriamali
   
 8. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Hii nimeipenda. Tutafika tu lkn
   
 9. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  haya ndo maisha bora kwa kila mtanzania...watanzania tutajuta kuchagua nyinyiemu...
   
 10. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  lakin kaka we si mjasiamali ina maana huna mbinu za kijasiriamali??? unden group na wenzako mliomaliza nao then mkope au mtafute jins...tumia elimu yako mkuu!!!
   
 11. e

  enoc Member

  #11
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kaka kwa hapa tz kujiajr n vgum sana sana coz hapana mpango kwa mfano nch ka Uganda n vgum lakn sio sana coz mpango n hpo, tz elm n kwa ajr ya kujriwa 2, huo ndo ukwel ko njia rahc n kuajriwa baada ya hapo ukkaasawa unajiajr. swala la kujiar n gum kila sehem ila n zaid kwako wewe ulye kwsha zoea kupokea 7500 /day usiyo hfanyia kaz na unaona kuingiza 3000 kwa cku ulyo ifanyia kaz n ndogo ucrias n muhm tena san
   
 12. e

  enoc Member

  #12
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kama kajbiwa yanakhusu nn؟‎ je kama hajardhika, bhana ehee so lazma uchangie 'just thinks then take step ahead' maon 2
   
Loading...