Uongozi chuo cha Makumira angalieni hili..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uongozi chuo cha Makumira angalieni hili..!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by twende kazi, Oct 1, 2012.

 1. t

  twende kazi JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,496
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ninawaomba mtoe kipaumbele kwa first year students ktk kuwapatia hosteli za ndani ya chuo hasa waliofika mapema kuanzia jana.Wengi wao ni wageni wa mji..!
   
 2. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,244
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  huku wanakusikia sasa!!?? Watumie email,, piga simu au waandikie kwenye sanduku la maoni....
   
 3. t

  twende kazi JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,496
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  jf ndo kila kitu..nimeshafanya yote hayo ila naamini hapa ni mahala sahihi zaidi.Hata babu yako bush huko anaijua jf sembuse viongozi wa makumira..
   
Loading...