ACSEE 2013 Timetable (Kidato cha Sita)

MashaJF

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
246
119
Nimetembelea tovuti ya NECTA (The National Examinations Council of Tanzania) na kukutana na ratiba ya mtihani wa kidato cha sita mwakani (angalia link hapo chini)

Poleni sana vijana najua mlikuwa mmeweka nguvu mmalize mwezi wa pili (Feb 2013).

Naomba tujadili ili la wanafunzi watakavyo chaguliwa kujiunga na vyuo vikuu (linahusu TCU) na matokeo ya mikopo (HSLEB), manake naona muda utakuwa mfupi sana baada ya NECTA kutoa matokeo na tarehe za kufungua vyuo!!!! Pima kwa mwaka huu wanafunzi wa A'Level walifanya mtihani mwezi wa pili na tumeshudia selection za vyuo zilivyo chelewa!!!!


http://www.necta.go.tz//matangazo/TIMETABLEFORMSIX2013w.pdf
 
Sababu za kubadilisha ni nini?

Matokeo yatatoka lini kama mtihani ni may?

Mchakato wa kujiunga na
vyuo utakuwaje?

Kuna uhusiano wowote na suala la kurudishwa kwa JKT?
 
ushauri wa bure kwa 4m 6 wote ni kwamba msibweteke mkaona may ni mbali cha msingi piga msuli kama unaenda kupiga paper feb
 
Back
Top Bottom