nimechaguliwa UDOM mwaka huu nimepewa na mkopo ila coz sijaipenda nimeshafanya na usaili nimelipa na baadh ya fees niliyohitaji kuchangia ila nataka niachane na chuo je mwakani application...
habari wanajamii Forums ,
Tafadhari nahitaji kufahamu faida za kufanya mitihani ya TOEFL, wapi hapa Dar naweza pata Tuition zake , vipi gharama zake ,na gharama ku giregister kufanya mitihani hiyo...
Katika hali inayochochea msongo wa mawazo, walimu tisa wamejikuta wakiishi katika vyumba vitatu vya nyumba moja kutokana na uhaba wa nyumba.
Kufuatia hali hiyo, Baraza la Madiwani la Sengerema...
Mhadhili msaidizi wa chuo kikuu cha Dodoma Mr DEOGRATIUS CAMERIOUS DUZU Amefariki jana tarehe 23/10/2012.
Chanzo cha kifo chake hakijafahamika, ila taarifa za awali zinaonyesha marehemu...
Ukifuatilia tovuti ya chuo kikuu huria cha tanzania utaona kuna jambo la ajabu linaloendelea kwa mpaka sasa kutoonekana majina ya wanachuo watakatunukiwa shahada za udhamili na uzamivu wakati...
Video ya mashine ya kukamua maziwa inayojiendesha yenyewe tangu kumuandaa ng'ombe hadi kiasi cha maziwa yaliyokamuliwa hiko hapa SEKTA YA MIFUGO TANZANIA
Watu wa bodi ya mikopo chuo kikuu cha Mzumbe wamehesabu wanavyojua wao number of days wanazokaa field wanafunzi wa mwaka wa tatu kwa kuweka siku 106 badala ya siku 120 ambazo ni semester mbili...
25/10/2012
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kitakuwa na mahafali ya 42 tarehe 27 Oktoba 2012 na Novemba 3, 3012.
Jumla ya wahitimu 3,643 watatunukiwa shahada na stashahada wakati wahitimu...
For both BRD takers 1,2 and 3 year i need 2 share with you on issue of futuring of our coz so if you know anything we can share bz im 1year use kiswahili our nation language
hi guys, ningependa kujua toka kwenu kama kuna mtu anajua kutoka kwa majibu ya chuo cha afya sindida pia tarehe za kuripoti pia. asanten sana nitafurah nikijibiwa.