Wanafunzi wapatao 154 wa chuo cha Madini jumatatu tarehe 07/01/2013 waligoma kufanya mitihani ya Supplementary baada ya wenzao 55 kusemekana kwamba wali Disco katika mitihani yao...
Jana kama wengi wetu tuliamka salaama sana nakuenda kwenye mishe mishe za maisha kama kawaida. Lakini kunamdau alitupa taarifa ya kilichokuwa kinaendelea IFM. Tunashukuru kwa taarifa. Na baadaye...
Katika siku za hivi karibuni kumetokea kundi la wanaCCM ambao wamekuwa wakijiita wanaCHADEMA na kutoa matamko ya kukitukana chama na viongozi wake. Vuguvugu hili lilianzia kwa watu waliojiita...
watu mliopewa dhamana ya kuongoza na kusimamia mkopo hivi ni kipi kinafanya mpaka leo tangu october mpaka leo wanafunzi wapatao mi4 walikuwa wanapata mkopo ila mpaka sasa hawajapata bodi wamekuja...
Ku tokana na matatizo yaliyojitokeza katika chuo cha madini napenda kuwataarifu kuwa vijana hawa pamoja na kuwa na moyo wa uvumilivu na busara machozi yao yalikua yanaonyesha dalili za...
MATOKEO YA DARASA LA 7 NI KITUKO NA NI AIBU KWA TAIFA
MCHAMBUZI: IMORI MARK
MATOKEO YA DARASA LA 7 NI KITUKO NA NI AIBU KWA TAIFA TOFAUTI NA ILIVYOWAKILIWASHWA KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA...
Katika kile kinachoonekana hali tete serikali imeshindwa kutoa matokeo ya kidato cha pili kwani wanafunzi wamefeli sana.kama wastani utabaki ule ule wa 30 kuna shule zitafaulisha wanafunzi chini...
Web Development Training in Joomla @ COSTECH Kijitonyama Event in Dar Es Salaam, Tanzania
Come and learn about latest Web Technologies and Web Content Management System (CMS) with Joomla...
haya maswali nimepewa na jiran yangu ni msaidie ili yamenishnda yote kwa yoyote anayejua anisaidie:-
1: performing action of heat on ammonium chloride according to the equation, two gases are...
jamani mwenye mawasiliano yoyote ya bandari ya tanga naombeni mnisaidie nina hitaji kwa lengo la kuwasiliana nao nikafanyie field kule.TAFADHAri i beg you all
Wana JF kwanza poleni na majukumu ya kila siku.
Leo nimeamua kutoa yaliyonisibu baada ya NW Mh.Mulugo kutangaza matokeo ya darasa la saba,naomba niwaulize wana JF nijisifu nini kuwa mwanangu...
Jamani nijuzeni Mwenzenu....Nimejitahidi kuingia kwenye website ya wizara lakini sijaona kitu, kwenye mitandao ya kijamii bado nimefua dafu, mwenye link ya ajira mpya za walimu wa shahada anipatie!!!
wale waliochaguliwa arusha makumira jamani msaidieni rafiki yangu;;;;;;;ame being selected uko but she has no idea on enveronment;;;plz any one lev your numbr plz;''''
Police were called to remove a student from school – because he wouldn't stop revising.
School bosses dialled 999 after 18-year-old A-level student Jamie Gagliardi refused to leave the...
Wanafunzi wa chuo cha IFM wanaandamana kuelekea kituo cha police Kigamboni kupinga maovu yanayofanywa na majambazi hapo chuoni. Ina aminika kuwa police wanajua waliofanya uhalifu huo na bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.