arusha uni versity plz ma frnd needs help;;;;;;naomba numbe yako;;;;;

sasha sarah

Member
Aug 14, 2012
22
1
wale waliochaguliwa arusha makumira jamani msaidieni rafiki yangu;;;;;;;ame being selected uko but she has no idea on enveronment;;;plz any one lev your numbr plz;''''
 
hapo ngoja ni ku direct coz nakaa a town ni kwamba ukiwa kwenye gari waambie wakushushe MAKUMIRA university ni barabarani kabisaa yaaani ukiwa unatoka moshi upande wa kuli xo usijali na mazingira yako poa ukiwahi utapata chumba ndani na kuna cafteria iko poa na sreen kubwaaaa ya kucheki mpiraaa kiko poa tu sana sasha
 
Back
Top Bottom