Bodi ya mkopo na saut mwanza mnataka watu wafee muunde tume

kwel2

Senior Member
Dec 30, 2012
109
47
watu mliopewa dhamana ya kuongoza na kusimamia mkopo hivi ni kipi kinafanya mpaka leo tangu october mpaka leo wanafunzi wapatao mi4 walikuwa wanapata mkopo ila mpaka sasa hawajapata bodi wamekuja mala nyingi mnawapiga viswahili haya juzi bodi mmechambua hayo majina nakupata majina 215 ambayo mnasema ndiyo yanastahili kulipwa kama mmejua kwanini mtume majina pasipo pesa yao mnataka hwa vijana wandamane wafe ili tume iundwe au wafe na njaa acheni utani na maisha ya watu wapeni pesa zao vijana wasome wengine mkopo ndiyo baba mama mjomba shangazi jamani nini mnafanya
 
Tatizo liko kwenye uongozi wenu wa serikali ya wanafunzi na ofisi inayoshughulikia mikopo hapo chuoni kwenu.
 
Ndugu zangu wana saut cha kuwasaidien ni kupiga hodi bodi ya mikopo ili wawape hela zenu,Viongozi hao wa bodi hawana jipya wamebaki kimya kutumia hela zenu kujinufaisha wenyewe.Kama ndivyo sion umuhimu wa viongozi hao kuendelea kuitwa viongozi wa bodi ya mikopo.Tumechoka kusikia kila mwaka wa masomo wanafunzi vioo vikuu wagoma kushinikiza malipo.je bodi ya mikopo haijiulizi kwann wanafunzi wanagoma?.
 
Back
Top Bottom