maombi ya msaada wa kusomeshwa

  • Thread starter Anthony Threedeyea
  • Start date

Anthony Threedeyea

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Messages
472
Likes
1
Points
0
Age
26
Anthony Threedeyea

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
Joined May 29, 2013
472 1 0
naitwa mwita mnyoro mkazi wa kijiji cha kubiterere,bunchari,tarime,mara, naomba msaada wa kusomeshwa kidato cha tano 2013 roho inaniuma mzazi wangu jembe lina mzeesha mwenye moyo wa kunisaidia number yangu n 0766626669
 
Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Messages
10,030
Likes
925
Points
280
Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2011
10,030 925 280
Mtoto wa mkulima unamiliki simu yenye internet?samahani lakni.
 
Mcheza Karate

Mcheza Karate

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Messages
690
Likes
91
Points
45
Mcheza Karate

Mcheza Karate

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2011
690 91 45
Uza simu kalipe ada wewe mtoto. Uko social networks halafu unasema maskini? Then unahadithia baba yako ana nguvu tu na ana uwezo wa kulijma? We mpuuzi kweli?
 
BHULULU

BHULULU

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Messages
4,906
Likes
147
Points
160
BHULULU

BHULULU

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2012
4,906 147 160
Uza simu kalipe ada wewe mtoto. Uko social networks halafu unasema maskini? Then unahadithia baba yako ana nguvu tu na ana uwezo wa kulijma? We mpuuzi kweli?
Upuuzi wake uko wapi??Yeye ni wa kwanza kuomba msada humu?Kuwa social network ndiyo kuwa tajiri??
 
nyamakonge

nyamakonge

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2013
Messages
363
Likes
62
Points
45
nyamakonge

nyamakonge

JF-Expert Member
Joined May 28, 2013
363 62 45
uza simu kalipe ada wewe mtoto. Uko social networks halafu unasema maskini? Then unahadithia baba yako ana nguvu tu na ana uwezo wa kulijma? We mpuuzi kweli?
kwan wote waliopo jf n matajiri.upuuz kweli kweli
 
nyamakonge

nyamakonge

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2013
Messages
363
Likes
62
Points
45
nyamakonge

nyamakonge

JF-Expert Member
Joined May 28, 2013
363 62 45
Mtoto wa mkulima unamiliki simu yenye internet?samahani lakni.
unajua bei ya mwsho ya cm yeny intanet.?una uhakika ana milik cm?cmple mind discuss personality nt fact.nimeshakuelewaa
 
Papaa Kinyani

Papaa Kinyani

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2013
Messages
1,459
Likes
624
Points
280
Papaa Kinyani

Papaa Kinyani

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2013
1,459 624 280
Acheni kuhukumu, yeye ameomba msaada, mpeni hata ushauri basi kuliko kumkashifu hivyoo? Dogo usikatishwe tamaa na hawa jamaa, nenda kwa mbunge wako na umwambie shida yako.
 
Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Messages
10,030
Likes
925
Points
280
Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2011
10,030 925 280
Ok,bac me nakushauri uitishe harambee then umualike mheshmiwa lowasa awe mgeni rasmi,naamini atakusaidia kuchangsha pesa.
 
Area 254

Area 254

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2013
Messages
324
Likes
4
Points
33
Area 254

Area 254

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2013
324 4 33
Acheni kuhukumu, yeye
ameomba msaada, mpeni hata ushauri basi kuliko kumkashifu hivyoo? Dogo
usikatishwe tamaa na hawa jamaa, nenda kwa mbunge wako na umwambie shida
yako.
mbunge wake ni wa CCM.
 
Area 254

Area 254

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2013
Messages
324
Likes
4
Points
33
Area 254

Area 254

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2013
324 4 33
unajua bei ya mwsho ya
cm yeny intanet.?una uhakika ana milik cm?cmple mind discuss personality
nt fact.nimeshakuelewaa
unazijua gharama za kumiliki simu?
uwepo wake ktk social networks haumaanishi utajiri wake,ila unatupa picha fulani ktk uhalisia wa maisha yake.
ngoja nimtafute fb kwanza,kwani huyu siyo yule aliyesema anauza corola juzi?(fb)
 
Anthony Threedeyea

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Messages
472
Likes
1
Points
0
Age
26
Anthony Threedeyea

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
Joined May 29, 2013
472 1 0
hacha utan kaka...
 
Anthony Threedeyea

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Messages
472
Likes
1
Points
0
Age
26
Anthony Threedeyea

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
Joined May 29, 2013
472 1 0
simu n gharama za masomo n vitu viwili tofauti kaka...
 
kuku87

kuku87

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
1,221
Likes
12
Points
135
kuku87

kuku87

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
1,221 12 135
Ok ni vema umegundua kuwa mzee jembe linamchokesha
 
Pukudu

Pukudu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Messages
3,019
Likes
898
Points
280
Pukudu

Pukudu

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2011
3,019 898 280
we tafuta nauli tu, ka ni Shule ya serikali utasoma tu utalipa ukifuata cheti
 
M

Mwadilifu

Member
Joined
Feb 13, 2011
Messages
74
Likes
0
Points
0
M

Mwadilifu

Member
Joined Feb 13, 2011
74 0 0
Mtoto wa mkulima unamiliki simu yenye internet?samahani lakni.
simjibii mtoa hoja,im just saying,kwa mfano mimi,nlinunua simu yangu yenye internet ambayo ndiyo hii nayotumia hata kupostia nw kwa Tshs. 30,000/= tu ni Nokia 2730 classic,kwahiyo simu ya internet its nt a big deal nw adays,simu unaweza hata pewa bure.
 
Area 254

Area 254

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2013
Messages
324
Likes
4
Points
33
Area 254

Area 254

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2013
324 4 33
simjibii mtoa hoja,im
just saying,kwa mfano mimi,nlinunua simu yangu yenye internet ambayo
ndiyo hii nayotumia hata kupostia nw kwa Tshs. 30,000/= tu ni Nokia 2730
classic,kwahiyo simu ya internet its nt a big deal nw adays,simu
unaweza hata pewa bure.
na hata kusoma unaweza kusoma bure.!
mimi nilimaliza ndanda 2008,sikulipa mchango wowote kpnd chote cha masomo,ikanilazimu nisichukue living certfcate japo home walikasirika sana.Siku naenda kuchukua cheti huku nikiwa nimejipanga full,headmaster akaangalia data za mtu mwngne aliyelipa michango yote,akaniuliza jina langu,akanipa gamba.
 

Forum statistics

Threads 1,273,083
Members 490,268
Posts 30,470,607