Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

je ni vigezo gani vinazingatiwa na HESLB kumpa mwanafunzi mkopo?
0 Reactions
1 Replies
814 Views
habari zenu wakuu, kuna mdogo wangu amemaliza kidato cha nne mwaka jana, amepata D mbili ambazo ni D ya maths na ya kiswahili,sipendi kuona dogo anakahome nataka kutafutia kitu cha kufanya sasa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
jamani wa mzumbe naomba msaada hasa wanaosoma busines school,dogo alisoma biashara o level alipata f math lakn advance kapata s ya baM ECA JE ANAWEZA KUOMBA BAF MZUMBE
0 Reactions
6 Replies
2K Views
CIVIL engineering VS ARCHITECTURE?????? »»®wadau zamu yenu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jaman mi o level nimepata bok keepng A,comerce B,civic C ,geog c.lakn math f.advance NIMEPATA 2 YA 10.account C,commerc D,economix C,BAM S.JE NAWEZA OMBA BAF BUSINEC SECTOR MZUMBE,AU BAF ARDH UNV.?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kozi gani ya biashara itamfaa mtu aliesoma arts pure o level na hge a level na ipi asijaribu?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Zamani ilikua mtu unaapply chuo direct katika chuo husika kwa gharama ya Tshs. 20 elfu, hivyo ili mtu u-apply vyuo 4 ilikulazimu ukate hiyo 80 kama form fee ya kila chuo, thanks TCU mkaanzisha...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Salaam wakuu, naomba mnisaidie ndugu yenu nimepata bahat ya kazi ila natakiwa nijue microsoft word na excel plz kwa mwenye kufaham any website ambayo naweza kujifunza au anifundishe tulipane,maana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hvi ni kwa kila koz inayohusu education,inamlazmu mhtim apitie ualimu kwanza? naomba mnisaidie jaman.
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Hvi ni kwa kila koz inayohusu education,inamlazmu mhtim apitie ualimu kwanza? naomba mnisaidie jaman.
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Dodoma. Mbunge wa kuteuliwa, James Mbatia ameitaka Serikali isiishie kuivunja Kamati ya Ithibati ya Vifaa vya Elimu, (EMAC), na badala yake iende mbali zaidi kwa kuwachukulia hatuaza kisheria...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwenye gazeti la majira wameandika kwamba kuna shule ya Msingi huko bagamoyo ambayo ina madarasa matatu tu. na hiyo shule ina miaka kumi tangu ianzishwe. Kumbuka bagamoyo si mbali kutoka ikulu ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf napenda kuuliza kuhusu form four walioomba vyuo vya afya kutumia matokeo ya mwanzo kabla ya uchakachuajia wanawezekana wakachaguliwa au ndo tusahau tu? Ushauri plz
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tovuti ni sawa na ubao wa matangazo Enzi zetu Mbao Za Sakafu, Za sementi ulioandikkwa matangazo kwa choki inashangaza sana siku hizi etu shule zinakosa tovuti au blog, modem zote hizi kw nini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kati ya CIVIL ENGINEERING & MECHANICAL ENGINEERING. nichague ipi wadauu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimejirejsta TCU kwa namba ya mtihani wa pili yani namba ya kurisiti bada ya hapo sistim ilinikatalia nakujiunga na TCU na kuniambia kwamba sina credit na sijakwalifai hata baada ya kuad namba ya...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Wadau! Eti sekondary kuna ada inafikia milioni 11 kwa mwaka...Nasikia iko Shinyanga sjui! Kuna hii sijui Feza boys sijui girls ada milioni 6 kwa mwaka Kuna chekechea nimesikia sijui iko wapi ada...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Habari wakuu...poleni na majukumu ya kulijenga taifa letu changa...Wakuu nilimaliza kidato cha nne mwaka 2007 na nilipata daraja la pili la alama 21..kutokana ufukara nilishindwa kuendelea na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu hivi ukimaliza diploma unaweza pata mkopo ukichukua shahada
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom