HESLB mnatuuniza sana

engineerm

Senior Member
Aug 30, 2011
106
0
Yaani website ya hii board ni matatizo kabisa bora TCU wako systematic. Nimelipia elfu 30,000 tangu jana gharama ya kuapply mkopo HESLB lakini nahangaika tangu jana kila nikiingiza Transaction ID hazitambuliki sijui inakuwaje hapa unalipia harafu bado maatatizo, please HESLB rekebisheni hili mbona TCU ukikwangua kile kikadi chao ukaingiza namba zile wala hazisumbui kabisa?
 
Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,458
1,250
hizi mada za helsb na necta zimekataliwa humu nendeni kwenye vyombo husika huko helsb au necta humu hamna majibu sahihi!!1
 
ndupa

JF-Expert Member
Jan 25, 2008
4,416
0
Hao wanazinguaga..hasa kipind kama iki..we kua mpole itakubal tu..
 
Morinyo

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
2,747
2,000
hizi mada za helsb na necta zimekataliwa humu nendeni kwenye vyombo husika huko helsb au necta humu hamna majibu sahihi!!1
Nadhani siyo sahihi kuzema hivyo, mambo mangapi yanayoihusu serikali yameongelewa humu au kuna msemaji wa serikali ndani ya JF.
 
Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,458
1,250
Nadhani siyo sahihi kuzema hivyo, mambo mangapi yanayoihusu serikali yameongelewa humu au kuna msemaji wa serikali ndani ya JF.
nenda kachunfguze na wewe kila siku ni maswali ya helsb helsb helsb humu au necta necta humu je humu ndio sehemu husika watu hawasomi thread zilizopita wapate majjibu linadondosha mapost kibao humu chunguza utajua namaanisha nini
 
Top Bottom