Naomba kuuliza my elders...

McDeedanny

Member
Apr 14, 2013
56
7
Nawasalim wote ndugu zangu,nilikuwa naomba kuuliza kuwa kama umwpata four ya 26 na unataka kwwnda uhasb chuo lkn masomo ya business umefil yani una F kwenye hayo masomo na hesabu pia,je utaenda wapi utaweza kweli kupata chuo kwamfano CBE AU IIA ARUSHA.PLZ ADVICE ME WAT TO DO DEAR BROTHERS N SISTERS,THNKX.
 
Kwa mfumo wa sasa wa elimu yetu ya kustandadize lolote linawezekana kabisa wewe usikate tamaa, lkn ingekuwa enzi zetu yaani ungekuwa kwa sasa unatafuta kituo ili uweze kuresiti masomo hayo
 
Back
Top Bottom