Form four msiwaze kurudia mitihan nenden chuo.Advance hakuna cha maana

Baraka Roman

Baraka Roman

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Messages
693
Points
0
Baraka Roman

Baraka Roman

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2013
693 0
Natoa ushaul kama kaka niliyeona jua mapema kwa wale wote wenye mawazo ya kurudia mitihan au wanaotatizwa na maamuz waende chuo au Advance..Chuo kina faida kwasababu zifuatazo
1.Akil yako itakuwa na utaanza kufikilia kiutu uzima tofaut na ukiwa advance utajiona bado mtoto
2.Utajifunza kile kitu ulichokuwa unakipenda na uhakika wakutimiza ndoto zako utakuwa mkubwa tofaut na ukiwa advance utafundishwa vitu ambavyo haviendan na huo udactar,uhasibu,uwanasheria ule unaouwaza kila siku na kumbuka kuna kufeli hapo
3.Utakuza sociar network b'se chuo unakutana na watu waliokutangulia kimaisha na wanajua mengi ya kimaisha tofaut na sekondary mtakutana na wanafunz tu ambao ni watoto wenzako
4.Ukiwa chuo haukatazwi kuwa na GF or BF,kuolewa au kuoa so nimuda wakupanga future kumbuka umli wa kuishi unapungua.
Kwa sababu hizo nawatia moyo wale waliokata tamaa baada ya kukosa sifa za kuingia A levo na wanaumia kwenda chuo kuwa chuo ni bora kuliko A levo.
NB:hii ni rasimu tu sio lazima uikubali.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
NURDIN.HAMIS

NURDIN.HAMIS

Member
Joined
Mar 9, 2013
Messages
81
Points
0
NURDIN.HAMIS

NURDIN.HAMIS

Member
Joined Mar 9, 2013
81 0
Unacho ongea ndio nilichokifanya mimi baada ya kurudia mtihani wa kidato cha nne mara kadhaa bila mafanikio nakuamua kwenda tu chuo na nilisoma uhasibu kuanzia ngazi ya cheti na kuendelea so wasivunjike moyo.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
T

Tabalo

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Messages
235
Points
195
Age
34
T

Tabalo

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2013
235 195
Wazazi wengi wabishi kwenye swala la kuenda chuo hata ujieleze vipi.
 
S

Sheko

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Messages
284
Points
0
Age
26
S

Sheko

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2013
284 0
Natoa ushaul kama kaka niliyeona jua mapema kwa wale wote wenye mawazo ya kurudia mitihan au wanaotatizwa na maamuz waende chuo au Advance..Chuo kina faida kwasababu zifuatazo
1.Akil yako itakuwa na utaanza kufikilia kiutu uzima tofaut na ukiwa advance utajiona bado mtoto
2.Utajifunza kile kitu ulichokuwa unakipenda na uhakika wakutimiza ndoto zako utakuwa mkubwa tofaut na ukiwa advance utafundishwa vitu ambavyo haviendan na huo udactar,uhasibu,uwanasheria ule unaouwaza kila siku na kumbuka kuna kufeli hapo
3.Utakuza sociar network b'se chuo unakutana na watu waliokutangulia kimaisha na wanajua mengi ya kimaisha tofaut na sekondary mtakutana na wanafunz tu ambao ni watoto wenzako
4.Ukiwa chuo haukatazwi kuwa na GF or BF,kuolewa au kuoa so nimuda wakupanga future kumbuka umli wa kuishi unapungua.
Kwa sababu hizo nawatia moyo wale waliokata tamaa baada ya kukosa sifa za kuingia A levo na wanaumia kwenda chuo kuwa chuo ni bora kuliko A levo.
NB:hii ni rasimu tu sio lazima uikubali.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
umenena mkuu si unajua vijana sasa mbwembwe nyingi akiulizwa mtaani comb gani unapiga haa! Pcb malaa haaa pcm mala haaa pgm mwisho wa siku muulize una una div ngapi kimya!
 
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Messages
11,346
Points
2,000
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2012
11,346 2,000
Mkuu ushauri mzuri lakin Advance mi naona ndio mpango mzima, hasa ukiwa unapenda mauzo au majigambo (Pomposity), Pia ni njia nzuri ya mkato kuelekea degree, Pia bongo kuna kasumba 1 ambayo kama mtu hakupita Advance lakin amepitia vyeti mpaka akapata PHD lakin bado wabongo huleta dharau mara utasjia mtu anasema huyu jamaa 4M4 na kwa maana nyingine kwa hapa bongo msomi ni lazima apige Advance then chuo....
 
Ndebile

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Messages
4,168
Points
2,000
Ndebile

Ndebile

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2011
4,168 2,000
Ni utoto tu unawasumbua! Nenda centre yoyote ya watu wanao-resit uone watu wazima na vitambi vyetu tunavyoangaika kutafuta credit, Soma hivyo vyuo vyenu alafu kwenye bench la interview mkutane na madogo wenye degree na hapo ndio mtakumbuka maneno haya: chuma kikunje kingali cha moto.

Sio lazima wote tuwe na degree, kubeba mafaili na kwenda posta afanye nan?
 
Forum statistics

Threads 1,284,227
Members 493,999
Posts 30,817,954
Top