Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

jamani hv jkt zinaenda shule ngapi? na ni zipi hizo??
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Yah husika na kichwa cha habari hapo juu,hizi ni taarifa za uhakika kabisa kutoka jikoni makao makuu JKT,waweza ingia hii link ujionee mwenyeweJeshi la Kujenga Taifa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je kuna yeyote mwenye taarifa kamili juu ya hili? Ukifanya marejeo kwenye hotuba ya Mnadhimu Mkuu wa MafunzoJKT kwa Mh. Rais siku ya ufunguzi wa Mafunzo ya Kijeshi, ukakamavu na uzalendo kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi nilimaliza kidato cha nne,tangu mwaka 2009,,nilipata divn 4.27,,,nimeangaika kupata fees kwaajili ya chuo,,lakin mpaka leo imeshindika,,nahitaji kusomea ualimu wa chekechea,,lakin,nimeshindwa...
0 Reactions
1 Replies
809 Views
Mm nimemaliza diploma ya financial administration so nlikua nataka kuomba economics ya mzumbe bt nmeckia wanachukua wenye ufaulu mzuri tu. mm gpa yangu ni 3... je naweza kupata
0 Reactions
2 Replies
996 Views
muongozo wa elimu ya tanzania ukoje ?. Je walimu wanawafundisha wanafunzi hasa kwa lengo gani. Pengine hii pia ni chazo cha kua na elimu duni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jaman mi napata wakat mgumu wa kutumia haina ya pen kujaza phome za mikopo pamoja picha zangu za muombaj zinapigwa muhur wa s/mtaa au hazipigwi,pia swala la TCU una aply vip vyuo msaada wenu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kadiri ya miaka mitatu au minne hivi tanzanzia imeshuhudia matokeo mabaya sana ya wanafunzi wanaomaliza elimu ya sekondari na hasa hasa kidato cha nne...hii inathibitishwa na madudu ya mwaka huu...
0 Reactions
2 Replies
946 Views
:A S-omg: Hivi Tanzania tuna wataalamu wa sera , mipango na uongozi katika elimu??:rapture:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ambao wanafanya mitihani ya bodi ya WAGAVI (PSPTB) ya matokeo ya NOVEMBER 2012 ndio yametoka kwa maelezo zaidi tembelea website yao ucheki kwa wewe uliyefanya hiyo mitihani unaweza kumjulisha na...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Eti results slip za form 4 zinat0ka lini?
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Ukiwa sekondari ukasoma shule binafsi unaheshimika kuliko wanaosoma za kata lakini vyuoni ukusoma vyuo binafsi inaonekana wewe advance hukufaulu vyema wanaofaulu vyema wanaenda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu heshima zenu! naombeni ushauri wenu. ndugu yangu kakwaa division four poinnt 18 akiwa na ESF ya PCB. swali : je anaweza kusomea diploma ya udaktari? yeye mwenyewe anapenda kusomea muhimbili...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
jaman wadau wa jf,hv n kwel ufaul wa wanafunz kdato cha sita umeongezeka au ndo kutudanganya.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mm nimemaliza diploma ya financial administration so nlikua nataka kuomba mzumbe cz ilove hichi chuo bt mmejaribu kuulizia nimeambie wale wenye ufaulu mzur ndo wanokua admitted. m gpa yangu ni 3...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
guys nimekuwa nikisikia kuwa kuna watu fulani wana IQ kubwa, yaani great thinkers compared to others. sasa ni kitu gani kinachoweza kusababisha mtu kuwa na IQ kubwa kuliko wengine ? and please...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Eti kwa mfan0 mtu anatafuta crdt 2 akarudia mtihani lkn baada ya mtihani akawa am3fanya vibaya na kuk0sa hata ch3ti kabisa . Sasa swali na kwamba J3?huyu m2 anaw3za ku2mia ch3ti chak3 cha mwanz0...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi unafikiri kupandisha madaraja ya kufaulu ndio kupandisha hali ya ufaulu kwa wanafunzi pamoja na hayo yote je! Maisha bora kwa kila mtanzania yatatoka wap kwa hali hii?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nimepata d ya chemistry biology na geography. naweza kusomea nini na chuo gani
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwahiyo elimu ni mafunzo yahusianayo na nguvu za kiakili, yaani kuendeleza akili na maadili, kwa kusoma na nidhamu, ili kumfanya binadamu kutenda katika usahihi. Elimu hii ni lazima iunganishwe na...
3 Reactions
6 Replies
5K Views
Back
Top Bottom