Kuwajibika hakupo

M

mageuzi1992

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2010
Messages
2,511
Likes
18
Points
0
M

mageuzi1992

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2010
2,511 18 0
Kadiri ya miaka mitatu au minne hivi tanzanzia imeshuhudia matokeo mabaya sana ya wanafunzi wanaomaliza elimu ya sekondari na hasa hasa kidato cha nne...hii inathibitishwa na madudu ya mwaka huu wa 2013 ambayo hayakuwahi kutokea. Nathubutu kusema inawezekana hakuna popote duniani ambapo madudu kama haya yalishawahi kufanyiki...'''wenye data wanikosoe kama si ukweli''' ajabu ya kustajabia ya musa na firauni ni kwamba pamoja na madudu yote mawaziri na watendaji husika bado wanadunda tu! Wala hawana soni mioyoni mwao! Inasikitisha.......
 
M

mageuzi1992

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2010
Messages
2,511
Likes
18
Points
0
M

mageuzi1992

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2010
2,511 18 0
Kadiri ya miaka mitatu au minne hivi tanzania imeshuhudia matokeo mabaya sana ya wanafunzi wanaomaliza elimu ya sekondari na hasa hasa kidato cha nne...hii inathibitishwa na madudu ya mwaka huu wa 2013 ambayo hayakuwahi kutokea. Nathubutu kusema inawezekana hakuna popote duniani ambapo madudu kama haya yalishawahi kufanyiki...'''wenye data wanikosoe kama si ukweli''' ajabu ya kustajabia ya musa na firauni ni kwamba pamoja na madudu yote mawaziri na watendaji husika bado wanadunda tu! Wala hawana soni mioyoni mwao! Inasikitisha.......
 
MeinKempf

MeinKempf

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
11,139
Likes
4,478
Points
280
MeinKempf

MeinKempf

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
11,139 4,478 280
Kadiri ya miaka mitatu au minne hivi tanzania imeshuhudia matokeo mabaya sana ya wanafunzi wanaomaliza elimu ya sekondari na hasa hasa kidato cha nne...hii inathibitishwa na madudu ya mwaka huu wa 2013 ambayo hayakuwahi kutokea. Nathubutu kusema inawezekana hakuna popote duniani ambapo madudu kama haya yalishawahi kufanyiki...'''wenye data wanikosoe kama si ukweli''' ajabu ya kustajabia ya musa na firauni ni kwamba pamoja na madudu yote mawaziri na watendaji husika bado wanadunda tu! Wala hawana soni mioyoni mwao! Inasikitisha.......
:smash: ndo mpango mzima hapa TZ":kev:
 
Forum statistics

Threads 1,275,230
Members 490,947
Posts 30,536,270